Ha ha haa! Hizi za kuidownload kweny Google eeh? Ndo upate kwa 350k?
Hizo bila 5M kuendelea juu huambui kitu, unless uende keko wakupe copy. Kimsingi hizo picha zako ni masofa yanayouzwa kule litemate furniture. Kuna mizigo hadi ya 18 M.
Go and purchase ndugu if you can[emoji23][emoji23]
Tatizo jingine lililojitokeza ni kwamba, kuna baadhi ya majina ukidownload kwenye cm hayaonekani. Lakin kwenye computer yanaonekana.
Kuna ndugu yangu jina lake ni Jeremiah kwenye simu ukidownload waliochaguliwa jina lake halipo.
Lakin ukiingia kwenye computer linatokea.
Hii itawapoteza wengi...
Aisee ajira huwa zinatangazwa mara nyingi tuu kwenye mashirika yanayodeal na issues za mazingira, download app ya "ajiraleo" huwa kuna ajira zinatangazwa ndugu.
Lakin ujiandae kisaikolojia maana kutangazwa kazi haimaanishi ndio ishakuwa yako, hata ukiitwa kwenye interview, fanya vizuri uwezavyo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mim kuna shule nilienda kupeleka application. Nikakutana na bango kwa secretary "HAKUNA NAFASI ZA KUJITOLEA KUFUNDISHA"
Just imagine, yaaan hata kujitolea tuu for free hawatakiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa tujitolee kufagia barabara na...
Well, mimi napenda zaidi kampuni ambazo zina website zao zinazodirect watu kuomba ajira. Unaingia, unajaza details zako unasubmit, Hawa middle men hawa nao ni wapigaji tuu. Mi sina hela, natafuta kazi af bado nikulipe wewe unitafutie kazi??
Mhh! Tutafute wote tu sasa kwa kweli, maana hakuna...
Ha ha haaa! Kwani Robert amefanya kosa gani? Yule ni wakili tuu kama mawakili wengine, anachofanya ni kutetea na kusimamia haki za mteja wake [emoji2375]
Sijawah kuona akilazimisha watu wamchague Lissu. Anachosisitiza ni uchaguzi huru na wenye haki, polisi kuacha upendeleo kwa CCM, kutoa nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.