Recent content by Gotze Giyani

  1. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    Sema wachangiaji wachache sana ila yote kwa yote vijana tuwekeze hata kidogo tulichonacho tusikatishane tamaa
  2. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    Asee tofauti na nmb ,crdb ,tbl,tcc na dse ni kampuni gani nzurii ya kuwekeza yenye gawio nielezee na Nico kidogo
  3. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kukua kwa DSE pamoja na ununuzi wa hisa za CRDB aka Tembo

    Kiweke basi hapa kama mdau alivyosema halafu nyuzi kama hizi kwanini wachangiaji uwa ni wachache sana watu tunataka mawazo mbalimbali
  4. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kukua kwa DSE pamoja na ununuzi wa hisa za CRDB aka Tembo

    Wadau habari za mida, Nimekuwa nafuatilia sana kuhusu elimu ya uwekezaji kwa muda sasa kuhusu stock au hisa, hatifungani na mifuko ya uwekezaji ya pamojai ila sasa naomba niongelee hisa haswa za CRDB Bank, NMB NICOL, TCC na DSE zenyewe. Hii kasi ya upandaji wa soko la hisa zikiwepo hizo...
  5. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    Hivi wewe unatujibu unatuchukuliaje unazani hatuna ela acha kujibu mavi wewe bora ukae kimya nisije anza kujibizana nawewe unazani sisi tumeanza kuwekeza jana au hatuna financial literacy education hata elimu ya hisa tunayo toka siku nyingi sana umeambiwa nani anataka gauze hisa akalipe bili bar...
  6. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    Mimi mwenye Orbit nataka nimuhame niamie Solomon ndio naambiwa ana afazali kidogo ila Orbit hapana sishauri mtuu maana hata siku moja kwa sasa kuhusu hisa na hii trends ya CRDB naona wanatukwamisha hatari na hata iweje hawajibu wala kupokea simu na pia application ya DSE inasumbua huku hisa...
  7. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki ya pili hii tunashindwa kununua hisa za CRDB

    Bei 1580 ndio nimeweka na ndio iliyepo sokoni
  8. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki ya pili hii tunashindwa kununua hisa za CRDB

    Wadau habarini za muda huu kuna tatizo gani mbona ni wiki 2 inaisha tunashindwa kununua Hisa za CRDB nimewasilina na DSE na broker Mara zaidi ya 5 wanasema shida ni kwenye market hivyo wataalamu wa uchumi na Hisa naombeni msaada wenu je vipi kuhusu Hisa za DSE nazo zinagawio kama za CRDB.Maana...
  9. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kuomba ufafanuzi kuhusu hii habari iliyopostiwa East Africa tv

    #HABARI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu ametangaza kuanza kutumika kwa Muundo mpya wa Utumishi wa Maendeleo ya kada za Uuguzi na Ukunga ifikapo mwezi Julai mwaka huu. Sangu ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Aprili 10, 2025 Mkoani...
  10. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kusafiri kwenda ughaibuni ni lazima uchome chanjo ya homa ya ini na yellow fever?

    Nimeuliza tuu nashukuru umenijibu vizuri
  11. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kusafiri kwenda ughaibuni ni lazima uchome chanjo ya homa ya ini na yellow fever?

    Sijakuelewa naomba unifafanulie vizuri nielewe mkuu na iwe faida kwa wengine na ni nchi gani na gani na nini kifanyike
  12. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kusafiri kwenda ughaibuni ni lazima uchome chanjo ya homa ya ini na yellow fever?

    Wadau poleni sana na majukumu naomba kuuliza hivi kwa mnaojua na wenye exposure za kusafiri mara kwa mara kwenda nchi za wenzetu kama Kenya ,Rwanda,Dubai, UK, France nk Nimeulizia nikasikia sio yellow fever vaccine tuu wanakagua hadi Hepatitis b nayo kwa miaka hii ni muhimu haswa ukiwa umetokea...
  13. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kupata kazi yenye mshahara mnono kunachangia kujituma

    Veta ninakubali kabisa ila broo ajira kwangu sio tatizo wala sipendi mambo marahisi nimekaa kazini miaka 7 na zaidi ila sema nimeulizia sehemu nzuri kama zenye posho na promotion nzuri
  14. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kupata kazi yenye mshahara mnono kunachangia kujituma

    Niko kazini japo ninajiendeleza sana kazi nimefanya miaka 7 sio nataka mabadiliko ya haraka mimi nimvumilivu sana sema nataka changamoto sehemu nyingine nzurii
  15. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kupata kazi yenye mshahara mnono kunachangia kujituma

    Ndio ila sijawaii kuipata yani bahati nayo sina ndio tatizo ilo
Back
Top Bottom