Recent content by Gotard

  1. Gotard

    Mzee wa Upako: Waraka wa TEC unadhoofisha mipango ya Serikali, haijalishi mipango hiyo ni mizuri au mibaya

    𝙈𝙩𝙪 𝙖𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙗𝙖𝙝𝙖𝙩𝙞 𝙣𝙟𝙚𝙢𝙖 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝙩𝙖𝙖𝙗𝙪; 𝙣𝙖 𝙗𝙖𝙝𝙖𝙩𝙞 𝙣𝙟𝙚𝙢𝙖 𝙮𝙖𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙞𝙠𝙖𝙞𝙨𝙝𝙞𝙖 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝙝𝙖𝙨𝙖𝙧𝙖. Sira 20:9
  2. Gotard

    Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

    𝗪𝗲𝗻𝘇𝗶𝗼 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘀𝗵𝗮𝗽𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗺𝘂𝘂𝗷𝗶𝘇𝗮 𝘄𝗮𝗼 𝗵𝘂𝗸𝗼🤣🤣🤣
  3. Gotard

    Kanisa Katoliki Tanzania hizi ‘ Kero ‘ tunazokutana nazo katika ‘ Jumuiya ‘ litafutieni ufumbuzi wa haraka

    Hizo kero unaonaje ukaenda kuzitoa kwenye Jumuiya yako {Mwenyekiti wa Jumuiya wakiwa na wana_Jumuiya wengine} Tumia busara ili kuiponya nafsi yako,mwili usikupe kiburi
  4. Gotard

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Unahitaji muda wa ziada kufundishwa ila ili ufundishwe uwe tayari kufundishika..... 2 wathesalonike : 2 15 Basi, ndugu, simameni imara, mkayashike mapokeo mliyofundishwa, ama kwa maneno, ama kwa waraka wetu.
  5. Gotard

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Eeeh ilikuwa ikifanyikaje katika hizo Imani za kale za kipagani
  6. Gotard

    Wakatoliki na Shule zenu sasa imetosha hebu kuanzia mwakani na nyie ' Jifelisheni ' ili Shule zingine nazo zing'ae Kitaaluma

    Duuuuh...... Jitazame upya ndugu,nina uhakika wewe ndio hujui Maandiko Matakatifu tena zaidi ni wale wa kuchukua kipande cha Mstari (mstari mmoja na kusema mnainjilisha🙊🙊🙉🙉)
  7. Gotard

    Zinaa katika uislamu....

    😂😂😂
  8. Gotard

    Sababu kwanini kiapo cha ndoa za kikristo ni haramu katika ulimwengu wa roho

    Kama hujui ni vyema ukauliza ila kwakuwa unajifanya unajua saana basi watu wanakuangalia tu
  9. Gotard

    Rais Magufuli amewadhalilisha Maaskofu mbele ya Sherehe za BAKWATA

    Hao hawakufikiri mbali hasa kwenye uhalisia,Rais amesema sawa lakini ukweli ni kwamba taratibu za mazishi kati ya WAISLAMU NA WAKRISTO ni tofauti ndio maana MUFTI/SHEKHE huwa wanaingia ndani (kwenye kaburi) wakati wa kuzika
  10. Gotard

    Rais Magufuli amewadhalilisha Maaskofu mbele ya Sherehe za BAKWATA

    Mtoa Mada anawaza kadri ya uwezo wake ulivyo,hapa kikubwa ni kuangalia taratibu za MAZISHI kati ya UKRISTO/UISLAMU huwa zinalingana?
  11. Gotard

    Rais Magufuli amewadhalilisha Maaskofu mbele ya Sherehe za BAKWATA

    Nina Imani huwa hauhudhurii mazishi ya Kikristo, ndugu, Mwili huwa unawekwa kwenye SANDUKU hivyo kipindi mwili unaingizwa KABURINI ndani ya KABURI HUWA HAKUNA MTU bali watu hutumia kamba kushusha SANDUKU NDANI YA KABURI WAISLAMU wakifika Kaburini huwa wanautoa mwili kwenye Jeneza/sanduku na...
  12. Gotard

    Rais Magufuli amewadhalilisha Maaskofu mbele ya Sherehe za BAKWATA

    Labda nami nikuulize wewe KWANINI MUFTI/SHEKHE HUWA WANAINGIA KABURINI WAKATI WA KUZIKA.....!
  13. Gotard

    Rais Magufuli amewadhalilisha Maaskofu mbele ya Sherehe za BAKWATA

    Padre aingie kwenye Kaburi kufanya nini....... Mada inasema juu ya Mufti kuingia Kaburini wakati wa Kuzika.... Kama kuna sala ama taratibu zozote za kimazishi zitakazomtaka Padre ama Askofu kuingia Kaburini wakati wa kuzika basi atafanya hivyo
Back
Top Bottom