Angewapa ndugu zake wangeishia kwenda nazo kitambaa cheupe kuagiza bia na mishikaki na kuanza kusumbua watu, kula anasa na kufanya uzinzi. Tayari binti wawatu anaanza kulaumiwa kwa kusababisha pesa zake kuwaingiza watu kwenye dhambi.
Unaonekana unapenda sana pesa we jamaa. Zipo nyakati katika maisha ya mwanadamu pesa huwa zinakosa thamani kabisa. Ukiwaza katika akili ya kibinadamu unaweza dhani huyo mama kakosea. Mama kesha waza hana haja ya hizo pesa wakati binti yake kafariki. Binti kwake ndio thamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.