Ufuatao ni tathmini yangu ya hali na mazingira ya kisiasa baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 20015,
Tathmini tangu itajikita mazingira haya mawili
1. Kushinda kwa upinzani na kuanguka kwa chama tawala ( ccm)
2. Kushinda kwa ccm na kushindwa kwa harakati za mabadiliko ( movement for change)...
Siku mkurugenzi wa NIMR dkt.mwele malechela alipoenda chukua fomu ya kugombea urais kwa ccm alikuwa si mtumishi wa umma?
Mbona hukuliiza?
Acha kuwa double standard
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.