du,mzee 6 tunaomba maoni yetu yazingatiwe,sisi wenye baa tunazuiwa kufungua mchana eti ni wakati wa kazi kwani cc hiyo si ndio kazi yetu? iwekwe kwenye sura ya 10.
Karibu kiwanja safi kujivinjari karibu na Legder Plaza zamaniBahari Beach Hotel, vyumba bya kisasa upepa mwanana bei mpaka vya 20000 vipo pamoja na b/f.
tatizo waochafua miji wanajifanya wakereketwa vyama, wenye mamlaka wamezipata kwa ukereketwa nn kitafanyika.Turudie mfumo wetu wa chama kimoja labda itakuwa dawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.