Naamini kwa bio yako wewe ni JF Expert na ni hali hivyo una maarifa kuliko mimi, basi kwahilo naomba utafute tovuti ya Kaizirege na Feza nawe utapata majibu. Sincerely mwana Feza wa zamani
Hizo picha za mwanzo ni Feza Boys ya pale Tegeta na siyo Kaizarage, naona kuna wimbi la watu wa huyu jamaa wanaotaka kupotosha umma kwa kulaghai wananchi na matumizi ya picha za Feza. "Research before you post".
Salaam zenu wadau, ngependa kujua kama kuna uwezekano wa kupata hii samsung s3 kwa bei nafuu na wala sichagui rangi...mnaweza kuni PM au 0712859798
Ahsanteni kwa ushirikiano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.