Blackberry 9900 inauzwa!!!

Hamsel

Member
Nov 15, 2011
86
125
Habari, nna blackberry 9900 iko kwenye hali nzuri.Bei yake ni laki nne na nusu.
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
48,761
2,000
Habari, nna blackberry 9900 iko kwenye hali nzuri.Bei yake ni laki nne na nusu.
una risiti? kama huna jiandae kutafuta wadhamini wawili wafanyakazi wa serikali, maana hiyo itakuwa ni mali ya wizi
 

mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
9,569
2,000
Kuna watu hapa watataka uwauzie bei ya chini,wakiinunua kesho itakuwa sokoni kwa bei maradufu ya waliyonunulia,ama kweli mjini shule
 
Top Bottom