Recent content by Goonde

  1. G

    JamiiForums Tanzania CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

    Ungejua hao askali unaosema wana mishahara kidogo juzi kati washaongezewa posho asilimia mia(100%) upo hapo!
  2. G

    JamiiForums Tanzania CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

    Nanyi walimu muache kujifanya nyinyi kama special case, aka special group! Kwani nyinyi tuu ndio MNA mishahara midogo tuu?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tangazo hili la "Hakielimu" sidhani kama litadumu

    Kiukweli vyoo vya shule ni sheeda,, HV Jana nilikuwa na mwalimu furani kutoka shule ya msingi kaja kutoa taarifa kwa mwenyekiti wa kitongoji kuwa wanafunga shule kwa lazima kutokana na uhaba wa vyoo,, kwani shule yaweza kupata magonjwa ya mlipuko any time,,,,,,
  4. G

    JamiiForums Tanzania Unyama wa wasouth Afrika

    Sio siri ndugu zetu ma mama mdogo siku zote maisha yao ni lawama tuu,, wanajisi kuonewa tuu kila jambo,, badirikeni bana,,, sasa kama hili la mauaji south lina uhusiano gani na dini?
Back
Top Bottom