Recent content by Goofy_

  1. Goofy_

    JamiiForums Tanzania ID zenu nyingine tunazijua

    Kuna mtu kareact angry kwenye hii comment. Mna shida nae kwan?
  2. Goofy_

    JamiiForums Tanzania Dudubaya ajue Bwanaake Yesu alikaa na Mashoga na watoza ushuru. Alikuja kwaajili ya Mashoga na wenye dhambi. Aache kujifaragua. Aache kuu-promoti

    Kama ambavyo unawazushia hao wadhambi wengine kwamba miongoni mwao palikuwa na mashoga
  3. Goofy_

    JamiiForums Tanzania Dudubaya ajue Bwanaake Yesu alikaa na Mashoga na watoza ushuru. Alikuja kwaajili ya Mashoga na wenye dhambi. Aache kujifaragua. Aache kuu-promoti

    Huyo Magdalene aliwekwa bayana ni kahaba. Lete na alipoelezewa shoga
  4. Goofy_

    JamiiForums Tanzania Dudubaya ajue Bwanaake Yesu alikaa na Mashoga na watoza ushuru. Alikuja kwaajili ya Mashoga na wenye dhambi. Aache kujifaragua. Aache kuu-promoti

    Vipi nikikisia na kukuita wewe shoga ingali sina uhakika. Unaweza kukubali kisa tu najua lazima una dhambi?
  5. Goofy_

    JamiiForums Tanzania Dudubaya ajue Bwanaake Yesu alikaa na Mashoga na watoza ushuru. Alikuja kwaajili ya Mashoga na wenye dhambi. Aache kujifaragua. Aache kuu-promoti

    Nimemwambia hivi, yeye pia ni mwenye dhambi. Lakini dhambi yake au zake zinaweza kuwa zingine tu ila ushoga hakuna. Sasa, atajisikiaje nikimuita shoga badala ya mwenye dhambi?
  6. Goofy_

    JamiiForums Tanzania Dudubaya ajue Bwanaake Yesu alikaa na Mashoga na watoza ushuru. Alikuja kwaajili ya Mashoga na wenye dhambi. Aache kujifaragua. Aache kuu-promoti

    Hujabold kwenye mashoga. Hivi nnaposema wewe ni mtenda dhambi na mwingine akaja kukuita wewe shoga, yupi utaona kazingua? Sababu unaweza kuwa na dhambi ila sio ya ushoga.
  7. Goofy_

    JamiiForums Tanzania Dudubaya ajue Bwanaake Yesu alikaa na Mashoga na watoza ushuru. Alikuja kwaajili ya Mashoga na wenye dhambi. Aache kujifaragua. Aache kuu-promoti

    Hakuna jibu pale. Rudia hicho kifungu kisha bold. Maneno meeeeeeengii
  8. Goofy_

    JamiiForums Tanzania Dudubaya ajue Bwanaake Yesu alikaa na Mashoga na watoza ushuru. Alikuja kwaajili ya Mashoga na wenye dhambi. Aache kujifaragua. Aache kuu-promoti

    Anakuwaga na kaujuaji ka ajabu ajabu. Anatumia mimaneno mingi tu kukwepa hoja za watu
  9. Goofy_

    JamiiForums Tanzania Dudubaya ajue Bwanaake Yesu alikaa na Mashoga na watoza ushuru. Alikuja kwaajili ya Mashoga na wenye dhambi. Aache kujifaragua. Aache kuu-promoti

    Unazidi kujaza mijadala ya kutoka nje ya ulichoulizwa. Jibu swali usianze kusema ni la kitoto
Back
Top Bottom