Recent content by Goody0094

  1. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa nauli ya kutoka Mwanza hadi Tanga

    Na unachkua mda gani kufika
  2. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa nauli ya kutoka Mwanza hadi Tanga

    Samahanin kama kuna mtu anafahamu nauli kutoka Mwanza hadi Tanga na muda unaotumika kusafiri kwa bus naomba aniambie
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Ntawalipa ila hadi mwez huu uishe sema time ndo imepita sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hili la kutolipa pesa branch

    Kwahiyo mkuu wakitishia polisi wanaleta kweli au Sent using Jamii Forums mobile app
  5. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hili la kutolipa pesa branch

    Ntawalipa ndio lakin hadi mwisho wa mwez na hapa wamenambia leo mwisho nafanyeje hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hili la kutolipa pesa branch

    Kuna aliewahi kuwekwa jela mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hili la kutolipa pesa branch

    Shs ngapi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hili la kutolipa pesa branch

    Alaf wanavifanyia kazi hivo vitisho au maana nna kama week mbili zmepita wananipiga bit Sent using Jamii Forums mobile app
  9. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hili la kutolipa pesa branch

    Me pia nyuma ilikuwa hivyo ila sa hiv nna week mbili sijawalipa wananiambia nisipokamilisha leo kesho wananifata Sent using Jamii Forums mobile app
  10. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hili la kutolipa pesa branch

    Ni vitisho tu au na vitendo wanafanya maana wanantishia kunipeleka polisi nisipolipa leo nna kama week mbili tangu tarehe yakulipa ipite
  11. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hili la kutolipa pesa branch

    Nnampango niwalipe kidogo kidogo mwisho wa mwez nkamilishe nna week mbili sijalipa na sasa wanantishia hadi leo siku niwe nshawalipa ni mikwara tu au
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Me wametuma hadi picha yangu wamenambia niwalipe leo kabla ya saa kumi vp hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hili la kutolipa pesa branch

    Habarin wadau naombeni kuuliza samahani hivi madhara yakutokulipa pesa branch kwa muda mrefu ni yapi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom