Naomba kufahamishwa nauli ya kutoka Mwanza hadi Tanga

Goody0094

Member
Jan 8, 2020
14
4
Samahanin kama kuna mtu anafahamu nauli kutoka Mwanza hadi Tanga na muda unaotumika kusafiri kwa bus naomba aniambie
 
Nauli toka mwanza mpaka Arusha ni kama 30-35 sasa piga hesabu arusha tu Tanga
 
Samahanin kama kuna mtu anafaham nauli kutoka Mwanza hadi Tanga na mda unaotumika kusafiri kwa bus naomba aniambie
Navojua hautafika Mwanza siku hiyo hiyo, utalala njiani.. Ni safari ya zaidi ya saa 18
 
Mkuu kutoka Mwanza-Dar na Mwanza -Tanga wapi mbali boss?
Mwanza Dsm ni mbali kwa Google ya kilometre 1200,
Lakini hii route ina basi chache sana n ukisafiri waweza prove hili suala .
Nishawai lala Shinyanga usiku..
 
Kweli boss naona masaa 18
Screenshot_20201129-132249.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom