Recent content by goodluckmponda

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Pole sana kwake lakini siku zote MUNGU anasimamia kwenye haki
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kutumia condom

    kama umemuamini hadi kuwa nae faragha sioni sabab ya kutumia condom,hivi kama ukijua kua ni muathirika utashare nae kwa kutumia condom?
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kutumia condom

    yaani kuvaa condom kwenye tendo la .... ni bora ujichue
  4. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    mimi nanavyoona kutoka kwenye hotuba JPM maadui zake wakubwa watakuwa CCM wenyewe kuliko UKAWA
  5. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    tatizo hiyo elimu unayoisema ni elimu ya vyeti sio ufahamu na uwezo kuchanganua mambo,hivyo haiwezi kusaidia kitu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Devotha Minja wa ITV Morogoro

    Hivi na SUGU anatokea kaskazini?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Devotha Minja wa ITV Morogoro

    hivi jamani naomba niulize kidogo kwani kule Tandahimba alikoshinda mgombea wa CHADEMA kuna wachaga wengi kuliko makabila mengine?maana mara chama cha wachaga mara ukanda,mi nafikiri chuki mnazopandikiza hazina mantiki
  8. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli ahudhuria kikao chake cha kwanza Kamati Kuu CCM

    kweli kabisa wanataka kumpa mikakati ya kupiga dili ili aachane na misimamo yake
  9. G

    JamiiForums Tanzania Utafiti wana CCM Dar wamekuwa wapole sana na wakarimu kwa UKAWA

    hiyo dawa ya kuwafanya watu wasiojielewa wabadilike,kama aliichagua ccm akikuomba hela kwamba hali mbaya unamwambia hapa kazi tu,na hata jirani yangu akiomba chumvi namwambia utaisoma namba
  10. G

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Nchimbi Achukua Fomu ya Kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania

    kwakuwa ccm hawapendi watu walionyooka bac huyo ndio anafaa kwani atakuwa anatukana tu ili kutetea chama
  11. G

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Nchimbi Achukua Fomu ya Kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania

    sasa LOWASSA anahusikaje na huo uchukuaji fomu ndani ya ccm?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Nchimbi Achukua Fomu ya Kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania

    mi nafikiri mh lusinde ndio anafaa zaidi ndani ya ccm
  13. G

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Nchimbi Achukua Fomu ya Kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania

    Nchimbi ni jembe,sema ccm hawapendi watu wanaoongea ukweli
  14. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    tusipotoshane mfumo wetu wa elimu ni kiingereza kuanzia O LEVEL hadi huko alipo huyo mheshimiwa,usifananishe na China
  15. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    itabidi Wema Sepetu amfundishe kama alivyofanya kwa domolangu linauma
Back
Top Bottom