Recent content by Goodluck Malila

  1. Goodluck Malila

    M Kopa wapo Tanzania au nimetapeliwa

    Hawa Jamaa ni matapeli sana.. Mm nmepigia hapa smu namwambia nataka kuja ofisni kwenu niko Msamvu morogoro nyir mko wapi anasema eti samakisamaki... NIkacheka sana akakata simu +255 760 226 165 hii ni moja ya namba yao.. na hawa jamaa wameshaliza watu wengi sana tuweni makini nao jamani
  2. Goodluck Malila

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Jaman vodacom tusiwalaumu sana aisee,,, kuna alot of technological issues tuwaache washufhulikie Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Goodluck Malila

    Serikali yaiagiza Hospitali ya Taifa kutotoa vibali vya matibabu nje ya nchi kama uwezo wa kutibiwa nchini upo

    Yani hela yangu unisumbue ww... Khaaa we mama ww unawazimu enheee... Kama umechika ya kuinhea kaa kimya
  4. Goodluck Malila

    Safari ya Lissu kuelekea Nairobi ilikuwa ni mateso na vilio, Spika Ndugai usitoneshe vidonda

    sawa kabisa kaka. MUNGU AWABARIKI SANA WOTE MLIOHUSIKA KUOKOA MAISHA YA LISSU
  5. Goodluck Malila

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mbna ni hatari kwa taifa letu.
Back
Top Bottom