Recent content by Goodluck Boaz

  1. Goodluck Boaz

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwenu wana JF

    Msaada, samahani wana JF kama unaandika barua ya kuomba nafasi zilizotangazwa na chuo kikuu, mfano unaomba nafasi ya uhasibu katika XYZ university, barua utakayoandika utatakiwa kumuaddress HR ama Principal wa chuo? Kuuliza si ujinga. Asante
  2. Goodluck Boaz

    JamiiForums Tanzania Iphone Xs Max

    Nauza iPhone Xs Max gb 256, battery 100, no face, bei Tsh 320,000/= Imenyooka sana kam mpya Tuwasiliane 0672901144 Ipo moshi KCMC
  3. Goodluck Boaz

    JamiiForums Tanzania Nipo Shinyanga natakiwa kwenda Moshi msibani, nina elfu 30, kama kuna mtu ana private car anaelekea hukio naomba msaada tafdhari

    Hii nmekopea bustisha kaka, natumia hii 0703370215 Jina Fadhili James Juma
  4. Goodluck Boaz

    JamiiForums Tanzania Nipo Shinyanga natakiwa kwenda Moshi msibani, nina elfu 30, kama kuna mtu ana private car anaelekea hukio naomba msaada tafdhari

    Shukrani mno boss nmepata tayar na hapa nipo igunga muda huu naelekea moshi,, asante sana Mungu akubariki kwa moyo huo
  5. Goodluck Boaz

    JamiiForums Tanzania Nipo Shinyanga natakiwa kwenda Moshi msibani, nina elfu 30, kama kuna mtu ana private car anaelekea hukio naomba msaada tafdhari

    Uko sahihi ila nlkuwa naomba usafiri private kwa anaetoka shy to moshi kaka haikuwa hela ya nauli.. ila hadi kukoment pia mi naichukulia ni kam umejali sana, maan ungeweza kuwa kmy.. asante kaka
  6. Goodluck Boaz

    JamiiForums Tanzania Nipo Shinyanga natakiwa kwenda Moshi msibani, nina elfu 30, kama kuna mtu ana private car anaelekea hukio naomba msaada tafdhari

    Nashkuru sana ila tayari nimepata usafiri na sasa nipo njiani kuelekea moshi. Asante🙏
  7. Goodluck Boaz

    JamiiForums Tanzania Nipo Shinyanga natakiwa kwenda Moshi msibani, nina elfu 30, kama kuna mtu ana private car anaelekea hukio naomba msaada tafdhari

    Daah samahanini ni vile nilikuwa nmechanganyikiwa napataje usafir. Ila asanteni wote mmejali, Mungu awatunze🙏
  8. Goodluck Boaz

    JamiiForums Tanzania Nipo Shinyanga natakiwa kwenda Moshi msibani, nina elfu 30, kama kuna mtu ana private car anaelekea hukio naomba msaada tafdhari

    Acha nitoke stand niende tu road nione kam Mungu atafanya wepesi
Back
Top Bottom