Mkuu hata jina la Magufuli tu hulioni kama ni la kisukuma tena mna ng'weli, eti leo mtu aitewe Mosha then nisimame niseme huyu jamaa anaweza asiwe mchaga. Zitakua zimepishana kidogo kichwani.
Avh
Acha kupotosha watu, madini yanamchango mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa kuliko unavyoshani wewe, usiwe inaandika kwa kuhisi njoo huku ujionee.
Kama ni madini migodi yote mikubwa Tanzania ipo kanda ya ziwa (GGM, NORTH MARA, BUZWAGI, BULYANHULU, STAMIGOLD-TULAWAKA, MWADUI DIAMOND MINE.. I think you are under estimating the power of lake zone. Nenda kafanye utafiti upya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.