Recent content by GOOD LADY

  1. G

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Michezo tu ya CCM hiyo yaan sijui kwanini mimi naona hizi ni games tu za kijan ila uyu ataibukia upinzan mana kwasasa upinzani uko mioyoni mwa wabongo so they must have plan B
  2. G

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Eeeh Mungu tunakuomba uisaidie hii nchi
  3. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA andaeni watu na sera za kuiongoza Tanzania. Muda wowote nchi itakuwa mikononi mwenu

    Heee CHADEMA hawa hawa???🤔🤔🤔
  4. G

    JamiiForums Tanzania Augustino Polepole: Najua Humphrey Polepole yupo Kigamboni, mumpeleke kwa mama yake, mkimhamisha mtajuta

    Nakumbuka tulipokua tumeingia tu mjini yaan bado washambaaa basi tulienda sherehe moja pale upanga na mama mmoja alipiga mkwara eti yeye anafanya kazi ikulu ivyo ile meza hataki mtu anataka kaa peke yake na mdada mmoja aliedai ni bodi gadi wake Baadae miaka ya mbele uko tulimkuta anauza pub...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania Freedom Fighters (TFF) ni kina nani na nani yupo nyuma Yao?

    Mungu aturehemu na atusaidie sisi watanzania
  6. G

    JamiiForums Tanzania Dr Hussein Bashe MP (PhD) Waziri Mkuu ajae

    Duuu Aisee😳
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

    Ndo namshangaa uyu mzee sisi kwa sisi ni tajiri wa miaka mingi ana mashamba ya miti huko njombe makubwaaa.ata apo mjini kajenga sana tuu sema apo kwenye iyo Lodge ya sisi kwa sisi ndo maarufu sababu ata simba na yanga hufikia hapo Huuwahujui wakinga wewe funga mdomo
  8. G

    JamiiForums Tanzania Bobi Wine achukuliwa na Vyombo vya Usalama na kupelekwa kusikojulikana

    Uyo atakua yule kijana wake Museven yule mvuta bangi msema ovyo
  9. G

    JamiiForums Tanzania George Simbachawene anafaa kabisa kuwa Rais wa JMT

    Anafaa anafaa anafaa mara zoooote.Mungu mjalie
  10. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Simbachawane atenguliwa Uwaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi

    Hata mimi Ni mtu alitufurahisha kwa yale maagizo yake kwa polisi.Mungu amlinde
  11. G

    JamiiForums Tanzania Samia ,Traore chungeni ndimi zenu na waheshimu Mabeberu

    Na waache kuwalimisha mboga,yaan unaenda kambi kubwaa apo msata unakuta jamaa wanalima mboga mboga kweli hatukupenda
  12. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza

    Ni maridhiano gani unafanya na watu mbao wengine hawaoni ndugu zao toka Oct 29??hawajui kama wamekufa na ata kama wamekufa miili yao haionekani??imagine ile Oct 29 mtu alitoka zake kwenda kibaruani but mpaka leo hajarudi hakuna mrejesho wowote.Kuna maridhiano kweli hapo??Damu za wale watu...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini, SGR ni janga lijalo

    Ndo mana ile tarehe 28/12 walipoahirisha safari za SGR wakatupangia kesho yake kwakweli nilienda zangu kupanda Shabiby.Tuliingiwa sana hofu hasa baada ya ile tren ya iliyoondoka mida ya saa mbili usiku haikufika mbali ikarudi. Yaan tulijiambia aya mambo ya kulazimisha vitu uhai ni bora kuliko...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ona unyama uliopitiliza wa rekodi ya dunia. Unatokwa na machozi

    Yaan unajua damu ya hawa watu bado inapiga kelele.tumeshuhudia ukatili huu w kutisha Mungu wangu
Back
Top Bottom