Recent content by gonza6

  1. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    We mpole mimi,unataka wangapi??afu ni wenye magari.subiri nilipate ntakutafuta..
  2. G

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Pasco wa JamiiForums na wapambe wenzake kuhusu mtu wao anayetaka kwenda Magogoni

    Ww kumpa kura yako aimaanishi ndo raisi.labda rais wako
  3. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Escrow,matokeo serikali za mitaa na uchu wa urais ndani ya ccm,hamuoni ujumbe aliouleta kakobe murch kutoka kwa Mungu leo umetimia??na bado
  4. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Unamjudge kakobe unaacha kuangalia nn kasema,kaongelea anguko la ccm ambalo kama unaakili timamu ushaliona,mtafaruko ndani ya ccm hamjauona kila mtu anataka urais,escrow na serikali za mitaa ni isharatosha ya ujumbe wa Mungu kupitia kwa askofu kakobe..
  5. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Aliyo yasema kakobe Mitch ndani ya ccm hamyaoni leo???
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wanao sema nyerere dictator je ccm ni kina nan??

    Kama co ma dictator nn kilichomkuta ulimboka,mwangosi,watu walio amishiwa mabwepande..na zaidi ya yote katiba imepitishwaje?Watanzania tuamkeni kwasasa tunamkumbuka sana nyerere hata kama alikuwa dictator ila alitaka manufaa kwa taifa na tukumbuke hata yy akuwa malaika..na angekuwepo mpaka leo...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

    Mwenye akili ameelewa
  8. G

    JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere: Kuondoa vifungu vinavyo wabana viongozi kwenye katiba mpya sio kumuenzi Nyerere

    Nikweli hatujui ulimboka kilicho mkuta?wezi wanakumbatiwa..baada ya miaka 20 mawazili wote watakuwa wanajua kusoma na kuandika tuu,je hii ndo katiba mnayo wanayo itaka?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hivi wanavyuo hawana haki ya Kupiga kura kwenye chaguzi?

    ni ufisadi tu hawataki tuoige kura kisa tumejitambua
Back
Top Bottom