Recent content by gontako

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kakobe awachana live Nape, Rose Mhando, Mangula, Mwakyembe na Makonda

    Mimi hapo nimeelewa kuwa; wapo watumishi wengi wa Mungu ambao kutokana na fedha au misaada wanayopokea hushindwa kukemea maovu kwa wale wanaotoa fedha au misaada hiyo.Na hasa linapokuja suala la Mheshimiwa fulani kafanya dhambi au uovu midomo ya watumishi wa Mungu wengi huwa kimya na kumfariji...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Spika za ukutani

    City Sound Music, mtaa wa uhuru Kkoo.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Jamani nimeamua kuokoka

    Hongera sana!, umefanya uamuzi sahihi.Mungu azidi kuijenga imani yako ktk safari ya kwenda mbinguni.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Kwa hiyo mtu akiwa fisadi asisemwe kisa kuogopa dini yake! Kakobe hasemi dini ya mtu anasema ufisadi wa mtu husika haijalishi ana dini au hana.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Acha kufikiria ushirikina wewe! Kila raia wa Tz ana haki na kudai haki zake za msingi!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Acha kutunga hadithi wewe! Siku moja moja uwe unasema ukweli!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Acha kutunga ya kwako wewe! Mwogope Mungu basi!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Sio bure wewe! Huenda ni miongoni mwa wanufaika wa fedha za escrow!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Mungu habadiriki bado anaongea na watu hata sasa! Halafu siku nyingine tumia M kubwa uandikapo jina Mungu.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Hujui unaongea nini wewe! Kwani Kakobe ni Mtumishi wa Mungu wa kwanza kuinyoshea serikali kidole pale inapokosea?! Watumishi wangapi wamekwisha ipigiza serikali! Kakobe kama raia wa Tz ana haki na uhuru wa kuongea pale anapoona watu wananyimwa haki zao.Vile vile kama Mtumishi wa Mungu...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Fuatilia habari, usimeze maneno bila kuyachunguza kwanza.Taarifa sahihi ni kwamba umeme unashindwa kupita ktk nguzo zilizopo pale kanisani!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Okoka, mpe Yesu maisha yako utashangaa kiu ya pombe itakavyotoweka. Mungu akubariki.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    Bila shaka wanatimiza agizo (MATH 28:19-20). Kwa hiyo wewe ndani ya gari wakikuwekea Bongo fleva, Taarabu na Bolingo ndio moyo wako unasuuzika na kuona raha!Hata hivyo unaonekana hauko mbali na wokovu.
  14. G

    JamiiForums Tanzania BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Pole abakorakamo kwa kudakia ya kuambiwa bila kuyachuja!
  15. G

    JamiiForums Tanzania BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Acha uzushi na chuki binafsi wewe! Usitoke nje ya mada.
Back
Top Bottom