Hata kama faiza foxy ni IS member kapitiliza kumtaja Yesu in prostitution wakati hata yeye mwenyewe atahukumiwa na kama hakitatimia mpaka Arudi na amshuhudie either akiwa hai au mfu atamkiri KWA ulimi wake. Like or not unabii huo utatimia!
Yani yule Dada Wa cemot ananiboa kuliko twaweza Saccos yeye kila kitu kiko poa hata akiulizwa BBC mbona kimara hawajapiga kura anasema ni jambo dogo tume ishashugulikia
Sitaki kuamini ntaanza kulipia fiesta ambayo sikwenda kuangalia mbaya zaidi walewale waliomuahidi babu yangu maji na maisha bora wanagonga cheers ikulu aaargh nimewaza tu KWA sauti!!!!
Me too! Lowasa cjapiga kura ila natumaini utaniongoza vizuri. Next time tutatumia computer kupiga kokote ulipo am praying for that! Wish to go back Mzumbe to vote!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.