Recent content by Gona

  1. Gona

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Mwandishi hongera sana kwa kusaidia kuielimisha jamii.
  2. Gona

    Jambazi akamatwa akiiba Ngarenaro Arusha

    Tupe picha yake tujihami
  3. Gona

    TANESCO kukata umeme kwa taarifa za habari

    Yaani kama ni kweli ni wajinga na wanazidi kuwachukiza wananchi hata mimi hainiingii akilini kama ni line repair ni matengenezo gani yanafanywa usiku na alifajiri ukiamka huukuti umeme. Yaani kuna ombwe kubwa la uongozi hapa tanzania ni aibu kubwa sana. Yaani kila kukicha bora ya jana. Nilikuwa...
  4. Gona

    Wastaafu wote ambao mnazungushwa kulipwa mafao yenu na PSPF tukutane hapa, ili kushinikiza malipo!

    Yaani hii inchi ukitaka mambo yako yaende uwe mh. Au uwe na mahusiano na vigogo.
  5. Gona

    Wastaafu wote ambao mnazungushwa kulipwa mafao yenu na PSPF tukutane hapa, ili kushinikiza malipo!

    Jamani mimi nasema kwa expirience mfuko huu ni mbaya sana. Unazungusha sana wateja wake unakera ni balaa. Kama kuna mtu ndio anaajiriwa ajifikirie mara mbili kujiunga na huu mfuko. Hapa arusha kuna mzee mmoja alistaafu kwa ugonjwa hadi leo hajalipwa haki yake anazungushwa na pia anaambiwa...
  6. Gona

    Mathayo azomewa, awatusi tena wanaCCM wa Same

    Jamani Same na Mwanga msituangushe. Hakuna kumchagua tena mbunge kupitia CCM. Wabunge wa hiki chama kwa Same na Mwanga hawafai. Tulidanganywa kuwa kuna mradi wa maji ikawa danganya toto. Sasa niwakati wa kufanya mabadiliko chagua chadema
Back
Top Bottom