Wana jamvi,
Ben Saanane and E. Mamuya wametoa maelezo yao (allegations) kuhusu jinsi Zitto Kabwe (mb) na wengine (Juliana Shonza, H. Mchange, M. Mwampamba, Gwakisa, E. Sanga, Dr. Kitila Mkumbo) wamekuwa wakidhoofisha CDM. Katika utetezi wa baadhi yao [Zitto Kabwe (ZZK), J. Shonza, na H. Mchange)...