Kama hiyo shule ni ya serikali mchango wa cheti aio halali na una haki ya kutaarifu mamlaka husika yani wilaya au wizara
Swala la remedial na Project ilitakiwa wazazi mkubaliane kwenye kikao kama hakikufanyika kikao hio ni kinyume cha utaratibu pia unatakiwa kuripo.
Study mbalimbali zimefanyika na kugundua
Sperm cell(mbegu za kiume) zikiwa ndani ya via vya mwanamke inaweza kuishi hadi siku 5, kwa sababu mazingira ya ukeni yanavirutubisho vya kuisaidia kuishi mda huo.
Egg cell (Mayai ya kike) ina uhai wa masaa 24 baada ya ovulation.
Ndugu, pole sana.
Natoka church, nkifika home ntaingia kwenye mfumo huo mnaoutumia niangalie kama ntaweza kukusaidia
Usishangazwe na maneno ya walimwengu hawajui mateso wanayopitia watu wasio na ajira mitaani.
Pole sana, ngajitahidi kwa kila hali kukusaidia
Ndugu, kama unasoma na kuelewa.
Utaona muomba msaada hakuwa na vifaa kwa ajili ya kukamilisha maombi, ndio maana akaenda internet cafe.
Kama angekuwa hajui tumia computer asingeweza jua kama sasa vyeti viliyokuwa kwenye mfumo si vya kwake.
Unajua alikumbwa na lipi mpaka akaomba msaada wa mtu wa internet amsaidie .
Ww hujawahi kosea katika mambo yako, au kisa umekuja jf unataka uonekane mjuaji ?
kuna watu hapa tanzania wanajiona kama wao ndio wao, hii si mara ya kwanza
Nchi ytu lakini bafo tunyanyasike, pole kak ngoda tuko pamoja huyu awe mfano
Watanzanka sijui tunakosea wapi,
Kwani kuhoji ni kosa jamani , Huu ushaniki wa vyama hauna maana
mimi si mwanachama wa chadema ila
Kwenye swala la huduma za afya bado ni tatzo , mpaka sasa miaka zaidi ya 50 baada ya uhuru unaenda kwenye kituo cha afya
1.
hawana hata panado kwel ?
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.