Recent content by goleticia

  1. G

    Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni

    Kenya Rais Ruto kasalimu amekubali mswada urudi bungeni,hapa Tanzania tupo Kama maiti wafanyabiashara wanachezewa na mwenyekiti wao Massawe na chalamila badala ya wabunge kuiwajibisha serikali. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  2. G

    Tunduma: Wafanyabiashara waunga mkono Mgomo, Wajipanga kuhamia Zambia, Waanza kuandikisha majina

    Kenya Rais Ruto kasalimu amekubali mswada urudi bungeni,hapa Tanzania tupo Kama maiti wafanyabiashara wanachezewa na mwenyekiti wao Massawe na chalamila badala ya wabunge kuiwajibisha serikali. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  3. G

    Waziri Mwigulu: Tukishusha 2% ya VAT tutapoteza Bilioni 600, Bajeti ya Serikali itaathirika

    Kenya Rais Ruto kasalimu amekubali mswada urudi bungeni,hapa Tanzania tupo Kama maiti wafanyabiashara wanachezewa na mwenyekiti wao Massawe na chalamila badala ya wabunge kuiwajibisha serikali. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  4. G

    Aliyoyaandika Boniface Jacob: Siri na sababu ya mgomo kuendelea Kariakoo

    Kenya Rais Ruto kasalimu amekubali mswada urudi bungeni,hapa Tanzania tupo Kama maiti wafanyabiashara wanachezewa na mwenyekiti wao Massawe na chalamila badala ya wabunge kuiwajibisha serikali. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  5. G

    Jicho la tatu sakata la Mpina vs Bashe na hasira ya Spika Tulia

    Hii Ni dhahiri nchi imeshauzwa na wahuni,na Mama wa taifa ndo kiongozi wao kuipiga mnada hii nchi. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  6. G

    Tanzania: Tumecheka sana na nyani, na sasa tunavuna mabua

    Hivi na maccm Yana maisha magumu kweli, yenyewe si yananunua sukari kilo elfu Mbili tu. Nchi ya hovyo sana Tanzania
  7. G

    Ukiambiwa upunguze jambo au uongeze jambo kwenye katiba yetu utachagua lipi?

    CCM hawakubali lolote wao wanawaza wizi milele kwa Katiba hihi mbovu na kuwapa watoto na vijukuu vyao madaraka
  8. G

    Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Unahangaika kuandika Nani atasoma na kujali kwa watawala wa CCM na serikali yao. Hapa wakijitahidi wataendelea kutumia vyombo vyote kudhibiti wapinzani hasa chadema ili wasiipe tabu CCM,Mambo ya uchungu na Tanzania unayajua wewe yerrico
  9. G

    Mabwawa yamejaa na umeme hakuna, TANESCO wako kimya, tunafeli wapi?

    Wewe fala kabisa kwani makonda ni Nani nchi hii,ndo unamaanisha hatuna Rais wa nchi
  10. G

    PreGE2025 Rais Samia, Kung'atuka nako ni ushujaa

    Kwamba Jomoo Kenyatta aliwahi kusema Nyerere anaongoza maiti, maana yake watanzania hawajitambui ndo Mana makonda anapiga simu mbele za wananchi kuwahadaa nao wanashangilia,Usaniii mtupu
  11. G

    PreGE2025 Catherine Magige: Luhaga Mpina ni mtu wa ovyo ambaye haamini uongozi wa mwanamke

    Ila wewe jamaa ni jinga unaishi kwa kujipendekeza,hutofika mbali
  12. G

    PreGE2025 Tuombe Mwaka 2024 Uwe ni Mwaka wa Mageuzi ya Kweli ya Kidemokrasia ya Kweli Tanzania. Tume Huru, Uchaguzi Huru na wa Haki! Happy New Year!

    Hivi Paschal Rais magufuli alipomuita mwenye njaaa kwa maana ya jinq lake hakudanganya. Leo unaandika haya maupuuzi wakati unajua CCM chama chako japo hunufaiki nacho hawapo tayari kwa mabadiriko ya Katiba Mpya na bora kwa maslahi ya nchi. Unamsifiaga Zitto kwa sababu unajua Zitto si mpinzani...
  13. G

    PreGE2025 Tuombe Mwaka 2024 Uwe ni Mwaka wa Mageuzi ya Kweli ya Kidemokrasia ya Kweli Tanzania. Tume Huru, Uchaguzi Huru na wa Haki! Happy New Year!

    CCM ukiwa kijana huwezi kugombea ukapita wanataka majizi yalioibia nchi ndo yagombee ili yahongee wajumbe mapesa. Ni hatari sana CCM kuwepo Tanzania japo wanatumia majeshi yetu kujibakiza madarakani
  14. G

    PreGE2025 Tuombe Mwaka 2024 Uwe ni Mwaka wa Mageuzi ya Kweli ya Kidemokrasia ya Kweli Tanzania. Tume Huru, Uchaguzi Huru na wa Haki! Happy New Year!

    Paschal ni jitu jinga linaponda jitihada za upinzania na kusifia Zitto kwa sababu linajua Zitto ni mnafiki aliyejificha kwa ngozi ya upinzani
Back
Top Bottom