Nasi tunakuona ww mpuuzi acha kuingilia mambo ambayo unazan watu watakuona ww una hekima kumbe ndo ----- wacha wasuse km wamehongwa hiyo haiwez kuzuia harakati daima haki itadaiwa iwe kwa machozi jasho au damu!
Hii sio jeuri bali ni kujiamin kusema ukweli na wala sio uwoga walionao wabunge wengi waccm tatizo hapa ni nani anaesimamia haki na wajibu wake ipasavyo ujue kuw kiongoz mkubwa haitoshi kumfany mtu awe na busara tena mm wazee wananiudhi xana wao wajifanya wana maadili kumbe ndo wa kwanza...
Mi naona wanajaribu kutafuta kile nachozan ni kuhadaa watu coz kusaport kaul ambayo mtu kashndwa kuitolea maelezo ni unafik na yote hiyo ni kuwafany watz mbumbu ati wakiona wanapiga makofi watajua kuna jambo la maana bac hapana budi kumpongeza alielitenda.nafikri mwisho wa hay yote utafika 7b ht...
Msemaji wa polisi ameonyesha udhaifu ktk kauli ya kumtaja mtuhumiwa km mwalifu ivi yy ndiye mahakama ni lazma huy mm ajue aliko mme wake ili aweze kufany taratib nyngn za kisheria ikiwemo kumdhamin km itawezekana xaxa nawashangien wale mazuzu mnaounga mkono kauli ya msemaji wa polisi ht...
Jamii lazma itambue waz ukwel kuhs mustakabal wa nchi yetu kwan naona viongoz wetu wamegeuka kuw vibaraka wa watu fulan kwa maslah ya watu wachache na familia zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.