Recent content by Golden_boy

  1. Golden_boy

    MSAADA WA KUJUA BEI ZA CHAIN LINK FENCING

    mwenye kujua bei za fence na vipimo vyake Tafadhali tujuzane
  2. Golden_boy

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    wimbo mwingine unaitwa huyo dem umeimbwa na jetman
  3. Golden_boy

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    wimbo wa o ten unaitwa mkuu wa mkoa
  4. Golden_boy

    Nahitaji kuagiza incubator ya mayai 1000 china

    Nahitaji kuagiza incubator ya mayai 1000 china,vipi kuhusu ushuru wa kodi ifikapo tanzania mwenye kujua kuhusu kodi anieleweshe ili niwe na uhakika
  5. Golden_boy

    Nahitaji fridge ndogo kwa 200,000/=

    nataka kama hii
  6. Golden_boy

    Nahitaji fridge ndogo kwa 200,000/=

    0744015385
  7. Golden_boy

    Nahitaji fridge ndogo kwa 200,000/=

    mpya au used ikibidi
  8. Golden_boy

    Nahitaji fridge ndogo kwa 200,000/=

    Ninahitaji Fridge, ndogo ya milango miwili kwa ajili ya matumizi binafsi ya nyumbani kama kuhifazia chakula na vinywaji pesa niliyonayo ni 200,000/= Naomba mwenye kujua bei halisi anijuze..
  9. Golden_boy

    kuna tatizo mtu akiconfirm vyuo viwili tofauti

    Juzi nimepata taarifa ya kuwa nimepata mkopo ,na kabla ya hapo niliiasha confirm udom sasa nimepata kazi juzi hivyo nataka kubadilisha nisome hapahapa dar ili iwe rahisi kufanya kazi na pia kusoma chuo muda wa jioni,kuna tatizo nikiconfirm tena chuo kingine naomben msaada wenu
Back
Top Bottom