Naamini kilichaondikwa kwenye hilo "tangazo" ni kweli! Hakuna tena longo longo kwenye utoaji wa PASI YA KUSAFIRIA! Kinachohitajika ni NIDA, BIRTH CERTIFICATE yako na ya MZAZI wako mmoja!
Hongereni sana UHAMIAJI!
Naomba nisaidiwe taarifa zifuatazo:
1. Mabasi yanatoa huduma ya usafiri kutoka Tanzania, na makisio ya nauli kama itawezekana. Nikipata namba zao za simu ni ni vizuri zaidi!
2. Safari yangu itaanzia Mwanza. Nitapaswa kwenda kupandia basi Dar Es Salaam au Tunduma?
3. Itachukua muda gani kutoka...
Ni ajali ya kawaida?
Ni ajali ya kusababishwa kwa njia za kawaida?
Ni uchawi kazini?
Kabla ya kufikwa na umauti, alishasikika akieleza kuwa wenzake wasiomtakia mema walikuwa wamemsomea albadiri kwa lengo la kuiteketeza taasisi yake na yeye mwenyewe!
Ajali iliyopelekea kifo chake inaweza kuwa...
Nisijifanye mjanja halafu nikaishia kuumbuka! Wazoefu mnisaidie tafadhali!
Ikiwa unataka kufanya booking ya ticket ya ndege, ukikutana na neno SELF TRANSFER linamaanisha nini?
Ni kama inavyosomeka hapo chini.
Asanteni!!!
Hizi pongezi zinathibitisha kuwa "wateja" wako waliridhishwa na huduma yako. Pongezi zao ni "tipu" zao kwako!
Hongera sana mkuu! Kazi yako itaedelea kukusemea kwa miaka mingi!
Ubarikiwe sana!!!
Ushauri wako tafadhali!
Linahitajika gari la masafa marefu linalomudu safari za mashambani. Route zake ni kama vile:
1. Mwanza - Arusha
2. Arusha - Njombe
3. Njombe - Mtwara
4. Mtwara - KASULU
5. Kasulu - Mwanza
6. N.k.
Kama nilivyoandika, safari nyingi nibza mashambani, kwa hiyo ni muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.