Jaman waungwana habari zenu, polen na majukumu, naomba msaada piah ushauri kwa mwenye knwoledge kuhusu tatizo la kukojoa mara kwa mara haipiti dakika tano, na inapotokea hali hyo huahakuna jinsi yakujizuia hua unatoka mojakwamoja, mwenye tatzo ni mtu mzimah ameshaenda hosptal kafanyiwa had...