Ni YEYE aliyebeza ripoti ya makinikia akasema tutashitakiwa MIGA. ( Wewe unafahamu hatima ya tanzania na MIGA, ana anafahamu makubaliano yake? ulishawahi kuyasoma? au ndo yale ya mlamba kuwa watanzania wale nyasi lakini ndege ya raisi inunuliwe . baada ya uwaziri akala nyundo
Nimekusikiliza kwa umakini sana baba Askofu.
Moja ya neno kuu umesema" VIONGOZI WA SERIKALI WANASISITIZA AMANI NA WANAKWEPA NENO HAKI WAKATI MSINGI WA AMANI NI HAKI"
Alichokisema Lissu nikuwa kwa Zanzibar achaguliwe Maalim Seif na kwa Rais wa muungano kichaguliwe chama chenye nguvu ya kuiondoa CCM madarakani.. na kwa pamoja wanzanzibar wameitikia kuwa ni CHADEMA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.