Recent content by GOETZE

  1. GOETZE

    Uchaguzi Mkuu 2015: Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yakataza kurusha chopa bila kibali

    Ndugu zangu tusipotoshe ukweli hapa jukwaani. TCAA ilitoa tangazo hili toka mwezi wa sita baada ya mheshimiwa mmoja kutua pale Sheikh Amri Abeid na chopa akitokea kanda ya ziwa ili kuhudhuria ufunguzi wa mtangaza nia fulani. Sasa kama kwa bahati mbaya hukuliona hili tangazo wakati ule basi...
  2. GOETZE

    Kwa mahitaji ya viwanja Chanika

    hello, sema ukubwa wake na umbali kutoka main road
  3. GOETZE

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Bro, nimepaua recently nyumba ya 16.2 x 14.9 hapa DSM, SAOHILL treated timber ni gharama but ndipo nilipokwenda just for assurance, 4 x 2 nilichukua 180, 2 x 2 nilikosa but fundi alitaka 90 so nikaongeza 4x 2 mbao 50. Bati niiweka msouth IT 4 na niichukua 135 pcs but nadhani fundi alitaka...
  4. GOETZE

    Baada ya mke wangu kunisaliti sasa ndoa yangu inapita kipindi kigumu

    hatari hii, usimpige chini huyo mkeo bro, jitahidi kuirudisha ndoa yenu kwenye mstari unaofaa. Siamini kama wewe hujawahi kutoka nje ya ndoa na hutawahi kutoka nje ya ndooa.
  5. GOETZE

    Nimemfumania mpenzi wangu naomba ushauri

    yeap bro! take ur time, calm down and see how it pans out. Never try anything silly coz u gonna end up regretting. You and I have seen worse than that buddy.
Back
Top Bottom