Recent content by GodstarTZ

  1. GodstarTZ

    Kumbukumbu zangu: Majasusi wa KGB walivyowafanya magaidi wa Hezbollah waliowateka wanadiplomasia wao wanne

    Picha za video za hivi karibuni zilizokuwa zikionesha jinsi wanahabari wa kimarekani bwana James Foley pamoja na Steven sotloff wakikatwa vichwa na magaidi wa ISIS inanikumbusha stori ambayo ilitokea nchini Lebanon mnamo mwaka 1985. Mnamo mwezi wa tisa, tarehe 30, mwaka 1985, kundi la watu...
  2. GodstarTZ

    Kumbukumbu zangu: Jihad John mkataji vichwa wa Islamic State

    Moja ya stori zilizotokea miaka ya 2014-2015 ni ya kijana wa kiarabu raia wa Uingereza ambaye alikuja kuwa tishio la dunia baaada ya kujiunga na kikundi cha ugaidi kinachojulikana kama Islamic State. Kijana huyu alikuwa anajulikana kwa Jina la Jihad John, huku akiwa maarufu sana kwa kuonekana...
  3. GodstarTZ

    Hamza Bendelladj "the smilling hacker"

    "Siku ya tarehe isiyojulikana, lakini inaweza kuwa tarehe 21-02-2011 mpaka tarehe 24-02-2011 , tarehe kamili haifamiki na mahakama ya Grand Jurry katika wilaya ya Georgia and sehemu nyingine, Mtuhumiwa HAMZA BENDELLADJ aka Bx1 alisaidiana na kusababisha na wenzake wanaojulikana na wasiojulikana...
  4. GodstarTZ

    Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

    PABLO NI NANI? Katika milima inayotazamana na mji wa Medellín nchini Colombia, yapo majengo ya kifahari kabisa ndani ya milima hiyo ambayo kwa sasa majengo haya yanatumika kama nyumba ya watawa wa Kanisa Katoliki lakini kabla ya watawa hawa kupewa majengo haya mwaka 2007, majengo haya yalikuwa...
Back
Top Bottom