Recent content by Godson Nasinda

  1. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

    Wewe ni nani wa kuspenti more time about UKAWA, na kama wamekosa uwanja wa kuzindulia kampeni inawahusu..JamiiForum hamuaminiki kwa kutoa taarifa za uongo.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Pongezi sana viongozi wa chadema pamoja na wa Ukawa kwa ujumla kwa majadiliano yenu yanayoendelea vizuri na kuimarisha utendaji kazi mzuri!..... Mimi nauliza nipo nje ya nchi kidogo Kenya nitapigaje kura kuchagua kiongozi ninaye mtaka?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

    Kuhama na kurudisha kadi ndo solution.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kingunge: Mchakato wa kumpata Mgombea Urais CCM ulikuwa batili! Lowassa si fisadi kama inavyodhaniwa

    Kingunge umefanya vizuri kutamka wazi kwamba haki haija tendeka dodoma kiukweli!
  5. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Mimi naona hizo updates zenu bado hazijawa kitu....na kama zimekuwa kitu Watu wa ccm mjilawamiane wenye maana kama wamemkata jembe la ukweli Lowassa,,Chadema watachkua ikulu kihalali..Chadema pamoja.
  6. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

    Mimi raia wa kawaida simtambui nape,,,maneno yako yaishie mwanza... na wale kundi vijana utakounganane ni wa nani!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kingunge: Hatutokubali Lowassa akatwe jina

    Namuombe Mungu Lowassa asikatwe,,,maana hakuna kiongozi mwingine atakaye weza fanya mabadiliko Tanzania.
Back
Top Bottom