Recent content by godn80

  1. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta walimu wenye vipaji vya ufundishaji morogoro

    Natafuta watu wenye uwezo mzuri wa kufundisha o level hasa masomo ya HISTORY ENGLISH KISWAHILI GEOGRAPHY CIVICS LITERATURE IN ENGLISH NA BIBLE KNOWLEDGE HATA KAMA NI FORM SIX LEAVER LAKINI UNA KIPAJI KARIBU. NAMBA ZANGU NI 0755555066.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Nguvu kubwa ya Polisi na ukimya wa waandishi.

    Baada ya ripoti kutolewa kuhusiana na mauaji ya mwandishi Mwangosi yaliyofanywa na Jeshi la Polisi huko Iringa Watanzania tumejifunza nini ? Pamoja na hayo kwakuwa Mwangosi alikuwa mwandishi wa habari kifo chake kilipelekea wanaharakati wengi kupiga kelele na hatimaye tume kuundwa na ukweli...
Back
Top Bottom