Hata wasipo powa wakipewa Aksante kwa kulitumkia Taifa inatosha. Maana hata walivyo MPIGA IDD Amin Dada Mwalimu NYERERE aliwaambia hana Cha kuwalipa isipo kuwa aliwaambia aksante kwa kupigania Nchi . Na hadi Leo hauja sikia wanajeshi wakidai Pdm sijui nn za kipindi hicho. Misingi ya kuwepo jeshi...
Moja ya mikoa inayo ingiza pato LA Taifa iringa 3 bola. Iringa hakuna vijana wazururuji kilakijana yupo bize na shughuli za kufanya . Iringa inaongoza kuwa na vyuo na secondary za kutosha.mambo yanayo changia uchumi kutoka iringa. 1. Utarii (2) Pili misitu (mbao) (3) Zao la mahindi (4) maharagwe...
Kifaru akijanunuliwa kilisha kuwepo enzi nyingi hapo imeongezwa nguvu ya ulinzi tu, nahayo unayosema ( mtambo wa check up kwa watu wanaotoka na MAGARI ya uchunguzi) Serikari inawataalamu wengi sana wa masuala ya ulinzi na usalama unalowaza wewe sasa wao walishalimaliza muda mwingi sana wapo...
Hapana !! Sio kihivyo maana angechangia hadi angeishiwa hizo pesa. Kwani hao wabunge wamechangia wote , hao mawaziri wamechangia wote na hao Matajiri wenzake mwachangishaji wamechangia wote? Why Diamond na Kiba tu ? Alafu umeshasema yeye ni MTU Maalufu umetumia utaratibu gani wa kumpelekea /...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.