Recent content by Godlove 17

  1. G

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie dawa nzuri ya kutibu maumivu ya goti

    Ndio nimeandika nimefanya vipimo vya x-ray na MRI
  2. G

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie dawa nzuri ya kutibu maumivu ya goti

    Ndio ingawa hakuna majeraha yoyote Kwa nje
  3. G

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie dawa nzuri ya kutibu maumivu ya goti

    Habari ndgu zangu niliumia mazoezini December 2022 goti likavimba baadae nikaenda hospital nikafanya vipimo kama x ray,MRI ya goti ikabainika nimepata impacted Trabecular fracture on medial tibia condyle nikatibitiwa Kwa kupewa dawa kama Diclofenac gel, Cartiflex na steroids injection uvimbe...
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usipokuwa makini huku ughaibuni, unaweza kula Trans na usijue

    Transgender means kabadilisha jinsia yake
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananipenda sawa, lakini ana sura ya baba

    Aise tuko tofauti sana mm navutiwa sana na demu mwenye sura ya baba yaani napenda awe mweusi tii mrefu na awe na tako la wastani,huwa sivutiwi sana na demu mweupe na mrembo sana hyo sio type yangu kabisa.Mimi napenda black materials napenda gari nyeusi,bati nyeusi,demu mweusi, t-shirt...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

    Asante Kwa ushauri mzuri
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

    Kk ni zipi hizo njia nyingne tofauti na bangi nayotaka kuanza kutumia Kwa sababu dawa za hospital nimetumia Kila aina hazitibu tatizo zinaleta dependency tu namm shida yangu ni kupata usingizi tu afu nipambane
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nimempenda mwanamke ila wazazi wake wamenikataa

    Ni mwendo wa ujambazi tu hakuna kutia huruma tena
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa leo anadanganyika kirahisi sana

    Npe namba yake boss
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

    Hyo hali ilinianza kubla ya kuishi na huyu binti baada ya kupata supplementary 2018
  11. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

    Chanzo nilipata supplementary SoMo moja watu wakaanza kunicheka ila nashukuru nilimaza chuo japo Kwa kuchelewa.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

    Asa Asante Kwa ushauri kk ,kama hutojali naomba tuwasiliane
  13. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

    Samahani kama hutojali ww ulikuwa na changamoto gani
Back
Top Bottom