Ndivyo ilivyo Rafiki yangu hatuwezi kumwelezea Mungu kwa uelewaje wetu mdogo,na atuwezi taka atudhibitishie kwakujitokeza mbele yetu ili uamini yupo..Kumbuka wewe ni wa hali yachini sana kulingana na ukuuwake ..Kujidhihirisha kwake kunaonekana kutokana na uumbaji.
Kama ilivyo mtoto wako hawezi jua maisha yako ya miaka ya nyuma sana,ndivyo ilivyo kwa Mungu.Kamwe huwezi mwazia Muumba wa vyote kwa ufahamu wako mdogo..
Yan unataka kutuaminisha Uumbaji ni mageuzi...😂😂 kama kuna vitu ambavyo sio Nature na Energy kuna aliye vitengeneza basi hata Ulimwengu yupo Muumba wa vyote...
😂😂😂😂
Hapana kuhasi sio hivyo ila ongera kwa kujaribu.Mtu anaye hasi nimtu ambaye tayari yuko katika tengenezo fulani anatoka na kwenda kutoa siriza tengenezo hilo akiwa na nia ya kupindua au kutaka cheo .Vyovyote vile ila akiwa na uwitaji fulani...Shetani Yeye alitaka nini nakuacha hapo ukatafute.
Aisee nakusikitikia sana sio makosa yako lakini ni mfumo wa mambo..mda utafika HAKIKA HAKIKA HAKIKA utamkiri kwakinywa chako..no yangu hii 0682447099 mda ukifika usiache kunifahamisha.
Dini za uwongo zimetumia nguvu nyingi sana na zinamvutano mkubwa,kuficha Ile kweli ..Ila jua Hili Nuru inaangaza gizani nalo giza halikuishinda...ila lakuweka akilini niili UTAWAJUA KWA MAFUNDISHO YAO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.