Recent content by Godlisten9

  1. Godlisten9

    SoC04 Mabadiliko yanayotakiwa Tanzania ya leo na ijayo bila kujali chochote

    Tanzania Tuitakayo Na Ndugu. Godlisten Mwasha. Mabadiliko ya kiuchumi, elimu, huduma za afya, na utawala ni nguzo muhimu kwa maendeleo endelevu ya taifa letu la Tanzania. Katika karne ya 21, ni muhimu kuzingatia jinsi tunavyoweza kuboresha sekta hizi ili kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu...
  2. Godlisten9

    SoC03 Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba Tanzania: Kuelekea Utawala Bora na Uwajibikaji

    𝙈𝙘𝙝𝙖𝙠𝙖𝙩𝙤 𝙬𝙖 𝙈𝙖𝙗𝙖𝙙𝙞𝙡𝙞𝙠𝙤 𝙮𝙖 𝙆𝙖𝙩𝙞𝙗𝙖 𝙏𝙖𝙣𝙯𝙖𝙣𝙞𝙖: 𝙆𝙪𝙚𝙡𝙚𝙠𝙚𝙖 𝙐𝙩𝙖𝙬𝙖𝙡𝙖 𝘽𝙤𝙧𝙖 𝙣𝙖 𝙐𝙬𝙖𝙟𝙞𝙗𝙞𝙠𝙖𝙟𝙞. #StoriesOfChange2023 Na Godlisten E. Mwasha Email:gmwasha9@gmail.com Phone:0687495993. Katiba ni msingi muhimu wa mfumo wa utawala wa nchi yoyote. Katiba hutoa mwongozo na kusimamia uendeshaji wa serikali, haki...
  3. Godlisten9

    JamiiForums: Content Managers/Moderators (10)

    Hapo kwenye bachelor's degree sasa ninayo na ndio namaliza mwaka wangu wa tatu wa IT sasa nipate cheti nitume na CV 😆😆
  4. Godlisten9

    SoC01 Mabara yaliyoendelea yanaichukulia bangi katika nafasi kubwa ya kuendeleza uchumi wa nchi zao

    Ni lini tutakuwa na ustaarabu? Ni sasa ambapo kodi zimezidi na ni sasa ambapo maisha yanakuwa ghali huku serikali ikitukandamiza utafikiri wametupa ajira nchi nzima wao. Na kama umeona vyema hapo juu nimeeleza kuwa sekta za umma zenyewe ndio zingepewa kipaumbele sio sekta binafsi wala...
  5. Godlisten9

    SoC01 Mabara yaliyoendelea yanaichukulia bangi katika nafasi kubwa ya kuendeleza uchumi wa nchi zao

    Kilimo cha Bangi,kuweka tozo na kupunguza posho za watumishi wa Serikali katika kuongeza pato la Taifa mbadala wa tozo za simu, mafuta ya petroli, dizeli, mafuta ya taa, mafuta ya chakula na sukari. Habari nawasalimu wadau na wana JF wote, nina imani mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila...
  6. Godlisten9

    SoC01 Maoni: Namna sahihi katika kupambana na majanga ya mara kwa mara ya MOTO nchini Tanzania

    MAJANGA YA MOTO Asalaam aleikyum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu kristo wadau wa JF, ahsanteni wadau, jukwaa na uongozi wa Jamii Forum nimeona nilete mjadala huu mbele yenu kwakuwa ndio tatizo kubwa linaloikumba hii nchi na kuleta madhara makubwa kimaendeleo, katika nyanja zote ikiwemo afya...
Back
Top Bottom