Recent content by Godfrey Marusu

  1. G

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya Serena na Siasa za upinzani Tanzania!

    Eti Ubongo Plaza kuwa ukumbi wa masumbwi hahahaha. Hivi nani alishinda?
  2. G

    JamiiForums Tanzania SSRA: Ufafanuzi kuhusu uraia wa Dr. Carina Wangwe

    Tumeruhusu wawekezaji wakubwa vipi? hahahaha
  3. G

    JamiiForums Tanzania The English of President Magufuli of Tanzania

    Nampenda Magufuli kuliko kiingereza kwa sababu kiingereza hakiwezi kuwa rais wa Tanzania lkn Magufuli ameweza kuwa rais wa Tanzania.
  4. G

    JamiiForums Tanzania The English of President Magufuli of Tanzania

    Kiingereza ni upuuzi, mbona hatumii kiingereza kutumbua majipu? Akisema maendeleo kwa kiswahili hayaji mpaka aongee kiingereza. Hadhi ya mtu hupanda au kushuka kutokana na anavyotoa hoja zake. Hoja yako ni dhaifu sana bro. Wewe unayejua kiingereza na Amiri jeshi nani ana msaada mkubwa kwa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania TMF iko tayari kulipia matangazo ya Bunge TBC

    Mawazo chanya ya lila mara zote hupuuzwa na fila. Hahahaha
  6. G

    JamiiForums Tanzania TMF iko tayari kulipia matangazo ya Bunge TBC

    YEHODAYA itikadi ikikukaa sana kwenye ubongo ina tabia ya kutafuna weledi. Hahahaha
  7. G

    JamiiForums Tanzania No Country for Black Men - Waafrika India wachapwa kama watoto!

    Mtakatifu Ivuga hata kama nitabaguliwa haitanitisha kwani kinyume cha kubaguliwa ni nini Mtakatifu? Kwani nisipobaguliwa nafaidika na nini, je kutanifanya na mimi kuwa mtu mweupe. Mabara na rangi zetu ni ubaguzi tosha haya mengine ni mahusiano ya ki utu ambayo ukiyapata sawa na ukiuakosa sio...
  8. G

    JamiiForums Tanzania No Country for Black Men - Waafrika India wachapwa kama watoto!

    Tuendelee kutenda wema hata tukipandikizana ubaya na visasi kamwe haviwezi kudumu kwenye maisha yetu ya Kila siku simply sio nature yetu. Being honest, patient, humbled n' calm is our uniqueness the sign of strength. Sio wahindi, waarabu wala wazungu wenye unafuu na upendo wa kweli kwa mtu...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kanisa la wanaoabudu shetani laanzishwa colombia

    Kanisa is the almighty God crusade.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kanisa la wanaoabudu shetani laanzishwa colombia

    Kanisa ni kusanyiko la Mungu sio jengo au kusanyiko kinyume na kusanyiko la Mungu.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Suzani Kiwanga: Mbunge wa Kishapu sio raia wa Tanzania

    Dr. Salim Ahmed Salim...... hahahaha
  12. G

    JamiiForums Tanzania Utoroshaji wanyama hai, Ikulu ya Kikwete yahusika

    Du
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mungai amlipua Lowassa kwa propaganda anazofanya

    Kitengo cha propaganda kisichokwenda na wakati ni janga kwa LUMUMBA crew hahahahahahaha
Back
Top Bottom