Recent content by GODFREY J POLITICIAN

  1. GODFREY J POLITICIAN

    Nafasi za ajira muda tume ya Taifa ya uchaguzi NEC

    Nikituma kesho trh 2 maombi yangu yatapokelewa kweli??
  2. GODFREY J POLITICIAN

    Corporate Sales Person is needed

    Ni vyema tukijua kuwa kampuni inajihusisha na nini ili iwe rahisi mwombaji kufahamu ABC za hiyo kampuni.
  3. GODFREY J POLITICIAN

    Ushauri kuhusu Fursa za kazi za muda(Vibarua) zilizopo Sweden

    Malengo yangu ndio hayo kufikia 2020 niwe nimetafuta connection ya kwenda uko.
  4. GODFREY J POLITICIAN

    Ushauri kuhusu Fursa za kazi za muda(Vibarua) zilizopo Sweden

    Ni kweli kaka ila angalau kidogo ukipata point ya kuanzia inasaidia.
  5. GODFREY J POLITICIAN

    Ushauri kuhusu Fursa za kazi za muda(Vibarua) zilizopo Sweden

    Mi mwenyewe natamani sana kwenda uko sijui tu pa kuanzia maana bongo kwa sasa hapakaliki.
  6. GODFREY J POLITICIAN

    FMCG vacancy

    Habari mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. GODFREY J POLITICIAN

    Nafasi ya kazi ya ulinzi

    Uko wapi mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. GODFREY J POLITICIAN

    Kiwanja kinauzwa

    Jamani naomba mniwie radhi sana nilisahau kuandika kuwa kisemvule inapatikana mkoa gani, ipo maeneo ya mkoa wa Pwani. Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  9. GODFREY J POLITICIAN

    Kiwanja kinauzwa

    Rejea kichwa cha habari hapo juu kiwanja kinauzwa maeneo ya Kisemvule karibia na maeneo ya sokoni, kina ukubwa wa ekari moja, Bei ni Milion 80 kwa mawasiano zaidi napatikana kwa namba: 0765301402 Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  10. GODFREY J POLITICIAN

    Nafasi ya Kazi: Mhuduma wa Ofisi na Wateja

    Mkuu sisi wenye uhitaji wa kazi tupo tayari kufanya kazi. Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  11. GODFREY J POLITICIAN

    Nafatuta Kazi yoyote hasa upande wa Masoko na mauzo! Nina uzoefu wa miaka miwili

    Mbona kimya mkuu Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  12. GODFREY J POLITICIAN

    Job Vacancies at Tanzania Postal Bank (TPB Bank PLC), Sales Executives

    Mkuu naomba unisaidie nipate nina experience ya kutosha upande huo mawasiliano yangu. 0765301402 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. GODFREY J POLITICIAN

    Nafatuta Kazi yoyote hasa upande wa Masoko na mauzo! Nina uzoefu wa miaka miwili

    Habari ya majukumu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom