Recent content by Godfaith Ngoye

  1. G

    Bachelor of helth system management

    KAKA NICHECK INBOX MY NO 0712620720 NITAKUSAIDIA
  2. G

    Joining instruction ya mzumbe

    kaka nitafute kwa no hii 0712620720 watsup
  3. G

    SECOND SELECTION MZUMBE TUKUTANE HAPA

    wale wa mzumbe first year nitumie sms ktk watsup no 0712620720 nikuunge na group ya watsup mzumbe first year
  4. G

    SECOND SELECTION MZUMBE TUKUTANE HAPA

    KAKA HIVI NIKITAKA KUJUA GHARAMA ZA CHUO NAPATA WAPI HIZO BARUA
  5. G

    Msaada jinsi ya kuomba Mzumbe kwa awamu ya pili

    Naombeni msaada nataka kuapply mara ya pili mzumbe lakini sioni option ya ku apply mara ya pili kama kuna mtu anafahamu naomba anielekeze
  6. G

    Haya ndio matokeo yangu kidato cha VI&DIPLOMA.

    kaka usizunguke sana subiri mwakani ufanye mtihani wa RPL ukifaulu unakwenda chuo moja kwa moja, mtihani huo upo kwa wale ambao hawana sifa but wamekaa kazini atleast miaka 3, ndio mtihani alioufanya Eric shigongo na sasa hivi ndo anaenda chuo so usikate tamaa brother , pambana wewe bado kijana...
  7. G

    Pharmacy vs Water quality laboratory

    Hongera kwa dogo, kwa ushauri wangu phamacy ipo vzr sana, kuna ajira maeneo mengi 1. Hospitalini 2. TFDA 3. private phamacy 4. viwandani pia anaweza kujiajiri mwenyewe vzr tu na mwisho anaweza kutumia cheti chake kwa kuweka ktk duka la dawa la mtu mwingne na akapata hela bila ya kufanya kazi...
  8. G

    UTARATIBU KUHUSU GPA 3.0 - 3.5

    kwa hiyo tunachokitazama ni chuo sio kozi?
  9. G

    UTARATIBU KUHUSU GPA 3.0 - 3.5

    kwa hiyo tunachokitazama ni chuo sio kozi?
  10. G

    UTARATIBU KUHUSU GPA 3.0 - 3.5

    Habari wana jamii forum naomba kuuliza hivi ni vigezo gani vinatumika kufanya kozi hii G.P.A iwe 3.0 na nyingne iwe 3.5, ni chuo au kozi, maana kuna kozi naziona ktk chuo A ina G.P.A 3.5 , Ukienda chuo kingne unaiona ina 3.0 naomba msaada hii ikoje,mfano kuna kozi inaitwa Bsc science general...
  11. G

    Muongozo wa kozi ya kuchagua kwa undergraduate mwaka wa masomo (2017/2018)

    yaah kaka otherwise ufanye paper ya RPL ambayo imeshafanyika tayari
  12. G

    Ushauri wangu kwenu wadogo zangu mnaotaka kujiunga na chuo kikuu

    Habari wana jamii forum, mimi naomba nitoe ushauri kwa wadogo zangu mliomaliza form six na mnatamani kujiunga na chuo kikuu. Maisha ya sasa yamebadilika usiende chuo kwa kutaka sifa unasoma degree tu, but angalia mbele kuna nini? Haswa sisi watoto wa wakulima. Ushauri wangu ni inawezekana...
  13. G

    Nimepata division 3 ya points 14(Form 6), natafuta mdhamini

    samahani kaka umesoma combination gani? maana kuna watu wantoaga fund za kusoma but kwa afya tu, ila pia kama ni sayans unaweza ukaenda ktk taasisi ambazo unaweza ukasomeshwa then ukafanya kwao kwa miaka kama mitano, ila nakutia moyo utapata na utasoma tu hiyo diploma usiogope just trusting God...
Back
Top Bottom