Watu wote na hata International observers wameona kasoro nyingi zilizojitokeza katika uchaguzi huu na hata walitahadharisha tume kuhusu kuchelewa kutoa matokeo, CHADEMA walichofanya ni njia nzuri kuonyesha kutoridhishwa na tume ya uchaguzi na hasa Katiba ya sasa na mapungufu yake mengi ambayo...
Mbaya zaidi kama anaweza kufikia hatua kuweka demokrasia mezani na kuichezea atakavyo ni sawa na kutawala kinyume na matakwa ya watu utawala huo hauwezi kuwajibika kwa watu bali kwa waliouweka ambao ni mwanzo wa matabaka ni migawanyiko hatima yake ni uharibifu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.