Recent content by God over everything

  1. God over everything

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya Kazi

    KukOsa mkopo
  2. God over everything

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya Kazi

    Habari zenu Wakuu. Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua. Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kwa siku angalau 5,000. Naishi Dar es salaam, Najua kutumia Kompyuta vizuri sana, Elimu...
  3. God over everything

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada

    Tabata Sanene
  4. God over everything

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada

    Jamani nimeshikika, Nadaiwa Kodi ya miezi mi3 na nimepewa Notice ya kuondoka tarehe 15 Tafadhali nisaidieni mchongo wa Kibarua chenye malipo kwa siku. Nipo tayari kufanya kazi yoyote Ile. Mungu awatangulie 🙏 Location: NIpo DSM
  5. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, kibarua, msaada

    Amani iwe nasi Watu wa Mungu. Nimerudi Tena Ndugu yenu, Bado sijabahatika kupata KAZI/kibarua. Nimeandamwa na madeni ya Kodi, service charges na madeni mengi ninapoishi. Naomba mwenye kunisaidia kibarua hata saidia fundi, nitashukuru sana. Naishi Dar es salaam, Elimu kidato cha 6. Mbarikiwe...
  6. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Amin Amin Mkuu
  7. God over everything

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Mimi nimebahatika Kuingia, ila mpaka mda unakwisha sijapata kuona quiz questions. Sijui Nini tatizo
  8. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Wakuu Habari! Bado sijajaaliwa kupata Kibarua/kazi tangu nipost humu mwezi January. Naombeni mwenye connection au kazi direct anisaidie niweze kujikwamua na Njaa hii. Nipo DSM, Elimu Form 6, Kompyuta Najua kutumia ipasavyo. Wasalam!
  9. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    NDIO Ndugu yangu, Najua kwa 100%
  10. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Yes Ndugu naweza
  11. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Poleni na machovu ya siku JF. Naombeni Mnisaidie kupata Kibarua cha malipo kwa siku au mwezi. Iwe kiwandani, kuuza duka, Store, au hata Kuwa house Keeper Niko tayari ndugu zangu. Nisaidieni jamani nisije nikamkufuru Mungu kwa hizi Taabu. Mimi ni WA kiume (27), elimu kidato cha 6. Asante
  12. God over everything

  13. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Habari za Mahangaiko Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam. Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi. Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA. Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu. Asanteni
  14. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Habari za Mahangaiko Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam. Elimu yangu ni ya Form Six Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi. Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA. Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu...
Back
Top Bottom