Habari zenu wakuu, naomba kufahamu juu ya matumizi ya solar za majumbani, hasa ukubwa na udogo.
Ninahitaji kufunga ila natamani kujua ni solar yenye ukubwa gani ambayo itanifaa, vitu vyakutumia umeme ni vya kawaida tu, je naweza kufunga solar ukubwa wa kiwango gani?
Nina changamoto ya token za luku kutoingia , ina load hata kuangalia salio inagoma pia kisha inaandika error 77 tatizo la toka jana nimelitolea taarifa ila hadi muda huu sijapata msaada wowote nipo gizani nimeshamaliza masaa24 bila msaada.
Naishi Dar, Tabata Liwiti mtaa wa maendeleo
Namba yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.