Recent content by Gobret

  1. Gobret

    Kivipi 16% ya Tanzania ni sawa na 84% ya Barrick?

    Kinachojadiliwa ni mali yetu watz. Ni kwamba wachache wetu wanasahau kuwa haya madini ni yetu watz. Tunaweza kuamua kuyachimba wenyewe au kuwa na mwekezaji. Badala ya viongozi wetu kuhakikisha kilicho chetu waTz wao wamewapa wageni. Hilo ndio tatizo kubwa na sasa limekaa kisheria na tumesainisha...
  2. Gobret

    Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam

    You are doing great Mr President. Asante kwa kutokuwaacha wanyonge. Pamoja nao siku zote za uongozi wako
  3. Gobret

    Tujadili nafasi na sheria za kuwa lecturer Tanzania

    Kwani shida ni nini hapo? Kama alama haziruhusu kufundisha chuo kikuu, kuna kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kuwa mhadhiri. Fikiria kama kila mtu akitaka kuwa mhandisi, daktari, au professor, n.k. Je, nani atakuwa mama Ntilie, yaya, mwalimu, padri, mchungaji, dobi n.k? Hayo yatakuwa sio maisha...
  4. Gobret

    Musukuma: Kuna wanasiasa wameahidiwa 10% kuweka presha ndege kuzuiwa

    Kama Lissu anaMSc ya sheria, basi hana utaifa ndani ya nafsi yake. Na siasa ya namna hii haitamfikisha mahala popote. Na atasahaulika mapema ktk historia ya nchi hii. Nilitegemea, kusikia kuwa kwa masuala ya ustawi wa nchi yetu tunakuwa pamoja
  5. Gobret

    Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

    Duh! Mwana-adamu huyu alivyo mbeya we acha tu! Mbeya mbeya mpaka shida
  6. Gobret

    Haya Majadiliano ya Makinikia, Mbona Hata Updates Hatupewi?

    Wajaribu waone kilichomnyoa kanga. Hizi sio enzi ya blablah bw.
  7. Gobret

    Je, Serikali haitapika data kudanganya wananchi kuwa ACACIA wametulipa matrillion kumbe ni propaganda?

    Wewe ndio miongoni mwa walewale wa CHADEMA. Unatakakujua harakaharaka hivyo? Acha wanaume wafanye kazi zao. ungekuwa unaitakia Tanzania mema basi usingekuwa unahangaika hivyo. Wewe unachotaka kusikia ni kuwa tumeshindwa? Hiyo haitokei. Ushindwe na ulegee hadi msuli
  8. Gobret

    Watumishi wa umma mtakaosimamia uchaguzi 2020 tafadhari msituangushe

    Acha propaganda zako. Tanzania tunakwenda vizuri na JPM. Tunamhitaji sana raisi wa mfano kama JPM. Five more yearsssssssssssssssssssss!
  9. Gobret

    Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

    Hata kama hatutafaidika kufuatana na majadiliano lakini ujumbe wa raisi wetu JPM umewafikia wanaotudhulumu. Viva Magufuli. You are the best president
  10. Gobret

    Operesheni Zinduka 7 - Afya ya Lowassa Siyo Hoja kwa Sasa - TeamLowassa Wameona Mbali?

    Mungu aliyekuumba amekuumba na madhaifu mengine ya mwili usiyoyaona au kuhisi kwa uwezo wa kawaida wa mwanadamu. Kumshambulia mtu kwa udhaifu wa mwili wake ni kitendo haramu mbele ya Mwenyezi Mungu. Mungu hajamweka au kumtupa Lowassa kwenye shimo la taka kama ambavyo umefanya wewe Mwanakijiji...
  11. Gobret

    Operesheni Zinduka 3 - Kamari ya Mbowe na Lowassa yaweza kulipa kweli (Incl. transcript)

    Mwanakijiji unajikanyaga tu. Slaa hawezi kukiangusha CCM hata akiwa mgombea wa maisha. Dawa ya CCM ni Lowassa. Tayari walioamua wameamua kumchagua Lowassa. Shauri yako wewe. Chagua Lowassa. Chagua mabadiliko!
  12. Gobret

    Kingunge ataka dakika 40 za kumchanachana Kikwete

    Wababa, wamama, wazee kwa vijana Kura zote kwa Lowassaaaaaaaaaaa!
  13. Gobret

    Operesheni Zinduka: Makosa 2 ya Dr. Slaa na 1 la Freeman Mbowe

    Lowassa mabadiliko!!! Mabadiliko Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
  14. Gobret

    Ushiriki wa Dk. Wilbrod Slaa kwenye chama cha ACT-Wazalendo

    Pamoja na kwamba ni mtu wa kabila langu lakini nimemfuta/ delete kabisa katika kumbukumbu zangu. Mzee mzima kuzidiwa na mtoto mdogo ni aibu kwa kabila langu na aibu kwa historia ya Tanzania. Wairaq'w tulionekana watu makini sana lkn tayari huyu mzee katuchafua vibaya sana. Hatuna hali tena kwa...
  15. Gobret

    Ushiriki wa Dk. Wilbrod Slaa kwenye chama cha ACT-Wazalendo

    Dr Mihogo kachagua mke. Na sisi tumechagua CHADEMA. Wasiwasi wa nini? Aingie tu mtaani tuone kazi yake. Kubwa zaidi anaogopa na pia anaona aibu baada kuwaita wafuasi wa CHADEMA vijana wahuni. Yaani kwa Dr Mihogo kila mwanachama au shabiki wa CHADEMA ni mhuni. Mhhhhhhhhhhhhhhhh! Thubutu yako...
Back
Top Bottom