Recent content by GOAT25

  1. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

    Mama yupo moyoni mwangu Na akigombea 2025 kura yangu anayo...
  2. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Agenda kuu ya uchumi ya Rais Samia ni ipi? Royal Tour?

    Great thinker[emoji109]
  3. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Rais Samia awaapisha Viongozi Wateule - Januari 10, 2022

    Habarini... Naomba kuuliza Kuna aliyemuona mhe Anjelina Mabula akila kiapo Jana. Kama Kuna mwenye picha atume hapa.. Kama hakuapa Nini kimempata? Goat 25
  4. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Naona chuki na visasi vikitawala CHADEMA wakipewa nafasi ya kuongoza nchi

    Haaha mi mgeni humu
  5. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Nakoshwa na uongozi uliotukuku wa awamu hii, naiona nuru ya Mungu kwenye nchi yetu. Asante Mungu, asante Rais wetu Samia

    Kabisa aongoze mpaka atakapochoka mwenyewe
  6. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima kufanya mkutano na wanahabari leo, Januari 6, 2022

    Haha gwajiboy kesho naye Ana Jambo lake muda ni uleule wa saa 5 Tunasubiri ngoma inogile [emoji91][emoji91]
  7. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Samia kuwa Rais nilidhani ni lazima Rais wa nchi atoe hotuba ndeefu

    Umesema yote[emoji122][emoji122]
  8. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Rais mlalamikaji: Je, ni udhaifu?

    Acha mfumo dume Samia chapa kazi!
  9. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushinda uchaguzi ujao kwa Asilimia 86% kihalali Uchaguzi ujao 2025

    Kazi iendelee tukutane 2025 Samia mitano Tena....
  10. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Naona chuki na visasi vikitawala CHADEMA wakipewa nafasi ya kuongoza nchi

    Habari zenu Mimi Kama mwananchi wa kawaida kabisa naona jinsi gani, CHADEMA kwa Sasa wanachama wake mioyo yao imejaa chuki na roho ya kulipiza kisasi..hasa ukifatilia maoni yao huko tweeter na Huku JF. Ndugu zangu ondoeni roho za chuki na visasi ili mjikite kwenye kunadi Sera za chama chenu...
  11. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Jina Suluhu linaakisi uongozi wa Rais Samia Suluhu

    Uliza mahakama...kesi bado inaendelea
  12. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Jina Suluhu linaakisi uongozi wa Rais Samia Suluhu

    Habari wanajamvi. Wahenga kweli hawakukosea waliposema Jina huakisi maisha na matendo ya mtu. Rais wetu wa JMT mh Samia Suluhu Hassan..hakika jina lake linaakisi matendo yake hasa kwenye suluhu Haya ni baadhi ya Mambo yaliyopata SULUHU baada ya mwenye jina Hilo kuongoza nchi yetu 1...
  13. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amedhihirisha utendaji wake wa kazi ni awamu ya pili na tatu, combined

    Hayo ni makasiriko
Back
Top Bottom