Gari Cardina inauzwa, iko katika hali nzuri, inatumia spring na inafaa kwa ajili ya biashara mjini na hata vijijini, ipo dar es salaam. garama ni 6m. kwa maelezo zaidi piga 0654721287.
SAMSUNG LAPTOP 15" YENYE SPECIFICATIONS HIZI INAUZWA LAKI 5 NA NUSU, IMETUMIKA KWA MWAKA MMOJA TU NA BADO IKO KWENYE HALI NZURI. BATTERY INAKAA MASAA MATATU.
Processor Intel (R), i3 CPU
M380 @ 2.53 GHz Speed.
RAM 3GB
32 Bit Operating system.
Call: 0654721278 Dar es Salaam.
kwa wanaohitaji tution kwa masomo ya science na pia kwa wale wanaohitaji french lessons, am a mobile teacher anaeweza kukufundishia mahali unapopenda wewe kwa muda unaokufaa. email me your number nitakupigia. tiffanymorgan709@gmail.com
I am currently in Dar es Salaam, sorry for those that are out of Dar, i can only attend to those in Dar es Salaam. The easiest means of contacting me is through my cell phone because i am not always on the internet, so for those that are interested please use my number (+255714855778), you can...
Kama unahitaji kujifunza kingereza cha kuongea na kuandika, au kifaransa au kiswahili, unaweza kunipigia simu namba(+255714855778). Utajifunza kwa wakati wako, mahali panapokufaa kwa siku zinazokufaa ila course nzima ni ya siku 30. Malipo ni laki moja kwa wale wanaotaka kujifunza kingereza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.