Recent content by Gnyaisa

  1. Gnyaisa

    Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

    Inasikitisha sana kugundua hizi ndio akili za vijana wetu wa kizazi hiki. Vijana wanaoshauri mradi mkubwa na wa kimkakati kama SGR uishie Morogoro kisha wanashupaza shingo kushauri bandari ya Bagamoyo ijengwe! Hiyo bandari ina manufaa gani bila reli ya kisasa yenye kufikisha mizigo katika...
  2. Gnyaisa

    Nadhani sasa mtaamini kwamba ule uliyoitwa mradi wa kimkakati, TUMEPIGWA

    Misinformed by who? Wazungu? Hawa wanaosema ndio waliovumbua mlima Kilimanjaro na Ziwa Victoria au?
  3. Gnyaisa

    Nadhani sasa mtaamini kwamba ule uliyoitwa mradi wa kimkakati, TUMEPIGWA

    Yaani basi tu. Miswahili ikipigwa ngeli kidogo tu inanywea kisa mdhungu. Mto rufiji upo duniani kwa mamilioni ya miaka ila mswahili anaamini utakaushwa na jua la Dar kisa mzungu kasema. Wazungu wanataka tutumie umeme wa gesi au majenereta kwakuwa wanajua namna watakavyofaidika. Kipindi kile...
  4. Gnyaisa

    Upon reading these notes, you will conclude that Kibatala is a novice lawyer

    Kibatala bado ni wakili mzuri sana. Sifa ya wakili mzuri ni kucheza kulingana na staili ya mpinzani wako. Kama shahidi kashikwa na simu, notebook na peni akijaribu kukariri ushuhuda aliopikiwa unategemea nin? Polisi wanasema waliwasafirisha watuhumiwa (tena wa ugaidi) kwa amani kabisa kutoka...
  5. Gnyaisa

    Upon reading these notes, you will conclude that Kibatala is a novice lawyer

    Wew jamaa subiri siku ujichanganye serikali ikuundie zengwe kama hili ndo utajua hujui. Mawakili wa utetezi wanatumia mbinu zao zote ili kuwachekecha Polisi watoe ushahidi wa ukweli.
  6. Gnyaisa

    Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

    Legacy ya JPM ni vigumu sana kuivunjavunja hata kama hawa wazee watakuja na maneno makali kama haya. Ni kweli JPM alikuwa na mapungufu kama mwanadamu ila ni ukweli pia alikuwa kiongozi mwanamageuzi. Ukitaka kujua namna huyu mwamba akivyopiga kazi tazama hotuba yake wakati anafungua bunge mwaka...
  7. Gnyaisa

    Sitasahau siku ambayo Nape Nnauye alipotembea kwa miguu Ikulu kwenda kuomba msamaha

    Dah mzee kaeleza kabisa "labda akengeuke mwenyewe huko mbele". Naona kaamua kukengeuka
  8. Gnyaisa

    SoC01 Hii ndio mbinu pekee ya kuokoa Mfumo wa Elimu Tanzania

    Shule ya msingi niliyosoma zaidi ya miaka kumi na tano iliyopita inajipambanua kwa kaulimbiu isemayo “ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA”. Nakumbuka vyema jinsi ambavyo kaulimbiu hii ilifanywa kuwa sehemu ya maisha ya kila mwanafunzi pale shuleni. Mwalimu alikuwa akiingia darasani kufundisha wanafunzi...
  9. Gnyaisa

    SoC01 Nini kifanyike? Wasomi wetu wamekuwa vibogoyo

    Tuna safari ndefu sana kama Taifa
  10. Gnyaisa

    SoC01 Wasomi wetu wamekosa mvuto, nini kafanyike?

    Zaidi ya miaka 15 iliyopita wakati nikiwa ningali mwanafunzi wa shule ya msingi, ndoto yangu kubwa ilikuwa kufikia elimu ya Chuo Kikuu. Wakati huo sikuwa na matamanio ya kuwa daktari bingwa, mwandishi nguli au mwanasheria aliyebobea kwa sababu niliamini nikifika Chuo Kikuu nitayafikia matamanio...
  11. Gnyaisa

    SoC01 Nini kifanyike? Wasomi wetu wamekuwa vibogoyo

    Kweli kabisa. Shule zetu zipunguze nadharia, zijikite katika mafunzo kwa vitendo.
  12. Gnyaisa

    SoC01 Nakulilia sana MamaTanzania

    Nikiitazama Tanzania ya nusu karne ijayo napatwa na furaha kubwa moyoni! Naiona Tanzania yenye kila namna ya neema na mafanikio ambayo taifa lolote lenye maliasili lukuki inapaswa kuwa nayo. Naiona Tanzania iliyojaa raia wengi wa kigeni hasa kutoka mataifa mbalimbali ya bara la Afrika...
  13. Gnyaisa

    SoC01 Vyuo Vikuu, tuzalishieni wasomi na siyo wasomaji

    Tofauti kubwa iliyopo kati ya “MSOMAJI” na ‘MSOMI” ni kwamba mmoja husoma au kutamka kile kilichoandikwa “mbele” yake na mwingine husoma au kutamka kile kilichoandikwa “ndani” yake. Kwa lugha nyepesi tunaweza kusema mmoja huamini sana katika kile anachokiona kwa muonekano wa nje na kisha...
  14. Gnyaisa

    SoC01 Watanzania tuamke! Wenzetu wa Afrika Mashariki wanatutamani

    Tanzania ni miongoni mwa nchi sita (6) zinazounda jumuiya ya Afrika Mashariki yenye nchi za Uganda, Kenya, Rwanda, Sudani ya Kusini, Burundi na Tanzania yenyewe. Eneo lote la Afrika Mashariki (ukiondoa Sudani Kusini) linakadiriwa kuwa na ukubwa wa kilomita za mraba 1,820,664 (ukubwa mara 53.7 wa...
  15. Gnyaisa

    SoC01 Nini kifanyike? Wasomi wetu wamekuwa vibogoyo

    Ukipata fursa ya kuonana na kuongea na daktari bingwa yeyote wa magonjwa ya watoto au yule wa afya ya kinywa na meno, miongoni mwa ushauri mkubwa atakaokusisitizia ni ule wa kutowapa watoto wako vyakula vyenye sukari kwa wingi hasa biskuti, pipi au keki. Madhara yatokanayo na kuupuzia ushauri...
Back
Top Bottom