Recent content by gnkoswe

  1. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Kasanga iliyojengwa kwa mabilioni yageuka tembo mweupe baada ya kuhudumia meli 1 tuu kwa miezi 4

    Mbona unatumia nguvu nyingi sana kupinga hili, kuna kipindi Kamwelwe alikuwa waziri alifanya kikao na waziri wa ujenzi wa Congo kuhusu Bandari ya kasanga kuwa kinachofanyika ni kutengeneza miundo mbinu ya upande wa Congo ili mizigo ipitie Kasanga, unataka kunambia Kamwelwe alikuwa ana udanganya...
  2. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Kasanga iliyojengwa kwa mabilioni yageuka tembo mweupe baada ya kuhudumia meli 1 tuu kwa miezi 4

    Hii bandari tungekuwa na viongozi wanao ona mbali ilikuwa iwe bonge ya fulsa, maroli yanayopita Tunduma kwenda Congo yangeshusha mzigo Kasanga, ni ufinyu wa mawazo ya viongozi wetu hasa wa Mkoa
  3. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

    Wasalimie huko uendako, ila ujue Mungu ni mmoja na dini haikupeleki mbinguni
  4. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

    Mpanda kuna kikundi kinaitwa damu chafu weee!
  5. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

    Tafuta vyako
  6. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania New Force/ Golden Deer acheni uhuni kwa mizigo ya abiria

    Mi tungemalizana mahakamani shenzi kabisa
  7. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania Msaada Hotel nzuri ya kufikia Dodoma

    +255715918948 Namba hiyo
  8. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania Msaada Hotel nzuri ya kufikia Dodoma

    Nakutumia namba ya Hotel nzuri
  9. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

    Tafuta zako, kwanza miaka 42 unatafuta nini kwenu
  10. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanaume wa Kiislamu huwa hawamalizi 'aya' ruksa ya kuoa wake wanne

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  11. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

    Asante sana
  12. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania TANESCO nini shida tena kwenye LUKU?

    Ujinga mtupu
  13. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Aisee Tanesco nadhani tunatakiwa kuwa na mbadala wa Tanesco kabisa, watu hawawezi kuwa wanapata tabu kununua umeme kila wakati kama vile ni hisani
  14. gnkoswe

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco hii system ya luku shida ni nini!
Back
Top Bottom