Recent content by gnjamakuya

  1. G

    Baadhi ya polisi wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Pwani mnakera.

    Kwa kawaida ili kosa lisitendeke polisi anatakiwa kuwa sehemu ya wazi ili aweze kuonekana,lakini mimi nashangazwa na baadhi ya polisi wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Pwani huwa mara nyingi wanajificha kwenye mabango yaliyoko pembeni mwa barabara mita chache kutoka TAMCO akiona gari...
  2. G

    Tanzania yafundisha wanajeshi wa DRC TMA - Monduli

    Acha dharau wewee! wamejaa form 4 failures lakini wakiingia kwenye battle ground mwenyewe utawakubali muziki wao ni heavy.
  3. G

    Nadhani huu ni mkakati mpya aliokuja nao IGP Ernest Mangu

    Mimi binafsi nimeguswa sana na mkakati mpya ambao utatumika na jeshi la polisi ambapo kuanzia sasa makamanda wa polisi mikoa hawatatumia magari waliyopewa kuwapeleka kazini na kuwarudisha nyumbani,bali pia yatatumika kuwapeleka hao rpc's mitaani kusikiliza kero mbali mbali zinazohusiana na...
  4. G

    Kwanini polisi hapa kwetu wanatumia namba hizi za kigeni kwenye gari lao?

    Hizo namba zinatumika kwa baadhi ya magari yanayotumiwa na makachero (detectives) ili wahalifu wasiweze kuwagundua,hii huwasaidia kupata kiurahisi taarifa muhimu kuhusu wahalifu na pia wanaweza kuweka mtego kwa ajili ya kukamata criminals bila ya kujulikana.wanaweza kutumia namba zozote pasipo...
  5. G

    Majangili ni zaidi ya serikali,wauwa tena Faru serengeti

    Haingii akilini kama faru anawekewa ulinzi wa hali ya juu kiasi hicho mpaka kufungwa chombo cha kummoniter na askari anaeingia lindoni mpaka ahakikishe faru wote wapo ndipo asaini kitabu.Sasa inakuwaje faru anauliwa kirahisi hivyo kama sio njama za askari wenyewe?
  6. G

    Baraza la mawaziri

    Wee jaluo mambo mazuri hayataki haraka,ukiletewa wasiofaa utaanza majungu.
  7. G

    Baraza la mawaziri

    Kila kitu kina utaratibu wake na sio kukurupuka tu,aliyekuambia amegoma kutangaza baraza lake la mawaziri ni nani? au unatafuta habari?.Kuwa na subira utawajua.
  8. G

    Wakuu nataka kupita JKIA na mizigo mlango ni upi??

    Mbona lango la departures linafahamika? Kwani wewe umebeba zigo gani linalokufanya ubabaike? hata kama ni first time kusafiri nje ya nchi mbona kuna utaratibu unaotolewa kwa abiria wanaosafiri kupitia vipaza sauti vilivyopo hapo airport au kwanini usiwaulize wahudumu wa hapo uwanjani? hayo...
  9. G

    Muundo mpya wa jeshi la polisi ukoje

    Deputy igp and not vice igp.
  10. G

    Muundo mpya wa jeshi la polisi ukoje

    Deputy igp and not vice igp.
  11. G

    "MIRUNGI" ni Biashara huria Moshi na Arusha??

    Gomba linasagwa hadi taya zinalegea,na mtaa maarufu kwa biashara hiyo ni ule mtaa wa msikiti mkuu ukipita hapo utaona viroba vya mirungi kwa asiyejua anaweza kufikiri ni viroba vya mchicha!! Utasikia chalii angu au jombaa njoo tusage gomba! Mambo ya A-town hayo!!! je hii biashara ya gomba...
  12. G

    Mjasiriamali maarufu ampiga kisu mteja wake.

    Lakini Godi popote ulipo tambua kwamba mkono wa sheria ni mrefu utabainika tuu bora ujisalimishe mwenyewe.
  13. G

    Mjasiriamali maarufu ampiga kisu mteja wake.

    Kweli kinywaji kinaweza kuwa sababu ya kupelekea mtu kumpiga mwenzake kisu? Mimi nadhani sababu inaweza kuwa wivu wa kimapenzi kwa hawa dada zetu wanaotuhudumia vinywaji (BARMAIDS).Bw Godi pamoja na kumiliki bar aliona anaingiliwa kwenye anga zake akaamua kukita kisu kwenye shingo ya jamaa.
  14. G

    Wakala wa Vodacom Singida ajiua

    Sio basyola wee mwenyeji wa wapi? ni bastola au pistol kwa kiingereza.
  15. G

    Hali ya hewa kuwa mbaya

    Unaleta uzi usiokuwa na mashiko,ni tatizo inaonyesha ni jinsi gani ulivyokurupuka na viroba vyako kichwani na kuleta thread isiyoeleweka.
Back
Top Bottom