Recent content by gmail mkulima

  1. G

    JamiiForums Tanzania Niliagiza Noah kwa ajili ya biashara ila sasa zimepigwa marufuku, Nifanyeje?

    Karatu to arusha km 143 nauli 7000tsh unapakia watu 8
  2. G

    JamiiForums Tanzania EAC: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Shukrani mkuu, vpi nikitaka ku export alizeti ushuru unakuwaje
  3. G

    JamiiForums Tanzania Bei ya alizeti

    Naomba kuliza bei ya alizeti sa hvi imefika sh ngapi hapo mkoani babati
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wanunuzi wa Karanga Njoo hapa

    Weka bei kwa kilo
  5. G

    JamiiForums Tanzania Asali mbichi

    Hvi nikitaka lita 20 ya asali original kabisa ni sh ngapi
  6. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya alizeti mikoani

    Sawa kmanda
  7. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya alizeti mikoani

    Poa mkuu nashukuru bei naona imenishida tutazidi kuwasiliana.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya alizeti mikoani

    Na mashudu ka unayo ni bei gani boss kwa debe
  9. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya alizeti mikoani

    Ni gunia ya debe ngapi
  10. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya alizeti mikoani

    Bei ya mwisho ngapi nichukue zote 200 upo katesh au?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya alizeti mikoani

    Gunia 200 nipe kwa 48
  12. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya alizeti mikoani

    Huyu jamaa simuelewi kwa nni hataki kuweka bei
  13. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya alizeti mikoani

    Weka bei hapa mkuu kwa gunia wanunuzi tupo wengi, una kiasi gani?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nauza mashudu ya alizeti

    Weka bei kilo sh ngapi?
  15. G

    JamiiForums Tanzania Msaada, kuhamia Dubai kibiashara

    China chakula inalipa sana mkuu, kuna mkenya pale xnixbei (shebei) anauza choma na ugali anapga kazi kweli. Mwisho nikupongeze kwa kuwa positive na kuthubutu kwenda kupambana mkuu bongo ya sasa hvi sijui utafanya biashara ipi upate faida.
Back
Top Bottom